πΈ Pape Sakho amerejea kambini jijini Ismailia, Misri akitokea nchini Morocco kupokea Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022.
Video inapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Kuna watu watakuombea mabaya ili hali wewe una familia, wazazi wanao kutegemea, Binadamu mioyoni mwao kumejaa chukii na uhasama ila jua kuwa kuna kifo π’
Leo #MariaSpaces tunajadili Harakati Tanzania na mikataba ya kimataifa
Je kuna mikataba na makubaliano yapi muhimu yanayoweza kutumika katika harakati kuhusu Haki zetu mbalimbali? Je tunapataje taarifa na nini kifanyike ili harakati zipate msukumo wa kimataifa!
Karibuni saa 2 uck