You don't magically obtain manhood.
You don't drift into it.
You fight for it.
And when you win, you earn it.
But if you do nothing and expect it to come to you.
It won't.
You're not a woman.
You don't get to sit pretty and play the waiting game. You have to make it happen.
“Wakati tunatangazwa kuingia mkataba huu na kutengeneza vifaa vya Simba kuanzia msimu ujao niliahidi. Kutokana na ukubwa wa Simba ni wakati wa kwenda kimataifa na leo tupo makao makuu ya Diadora ukanda wa SADC na kwa mara ya kwanza tunakwenda kutangaza ushiriki wa pamoja kati ya Simba, Jayrutty na Diadora.” - Afisa Mtendaji Mkuu wa Jayrutty, Joseph Rwegasira. #WenyeNchi #NguvuMoja
shukurani kwa mungu baba mwenyezi. bila kusahau kwa raia nambari 1 Tanzania nzima hakuna kama yeye mtu muhimu sana asipo amka jua alichomozi anaupiga mwingi balaa m10 tena kwake haina kipengele kabisa anayebisha bata waheed........,