Don’t eat all your money today and leave tomorrow to struggle.
Enjoy what you earn, but learn to save. Set something aside before spending, no matter how small the amount is. Savings give you a cushion when emergencies come and create opportunities when good ones appear.
You don’t have to be rich to save. You just need discipline.
Spend wisely. Save consistently. Build for tomorrow.
Bro To Bro.
Kuna kipindi maisha yanakukataa.
Plans zinagoma, pesa haitoshi, love haieleweki, na hata bebez wanakupita kushoto. 😂
Usipoteze focus.
Maybe this season isn’t for chasing people. Maybe it’s for building yourself, building your name, building your money, and building that empire.
Stay positive folks. ✊
Unaweza kuwa salama zaidi kwa kupunguza matarajio kwa wengine
-chochote ni cha muda na kinaweza kuondoka,tunza Imani yako.
-Unao wafurahia wanaweza kukuangusha vibaya sana,Tunza ujasiri wako.
-kila unaedhania ni dhaifu jua nae anataka kushinda, Weka mipaka.
-hakuna shortcut trust your process.
.Mwisho,Asilimia 99%,watu hawamaanishi wanavyo visema usichukulie kitu chochote personal.
Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Wafilipi 4:12-13
Control your information. Don’t overshare a lot about yourself with people, because people have always known ways to use that against you. The less they know, the more power you hold. Privacy and a private life will always be great.
Kuna stage kwenye maisha inaitwa “Dormancy period.”
Ni ile,
Hutaki mahusiano.
Huvutiwi na mtu.
Hutaki kumpenda mtu.
Unataka tu kuwa peke yako, kujipanga upya na kuendelea na maisha yako.
Ni kipindi cha ukimya na kujenga.
“Speak life into others. Encourage their dreams, support their ideas. Point out their strengths, their talents, their potential. Sometimes all it takes is one person to remind us we're capable.”
Katika maisha, kuna watakaoonekana wako mbele yako, na wapo watakaoonekana wako nyuma yako.
Ukweli ni kwamba kila mtu anatembea kwenye majira na muda wake mwenyewe.
Hesabu hatua zako, si za wenzako.
Dear Universe, cancel any ties, contracts, promises, or unspoken bonds that no longer feel healthy or aligned. End connections that feel draining, one sided, or heavy. I take back my energy from people who ignored my boundaries, used my kindness, or only showed up when it was easy. From this point forward, I give my time, love, and attention only to those who meet me with honesty, respect, and effort. I choose peace, clarity, and real connection.
Hagar was alone in the wilderness when God met her there.
Elijah was hiding in a cave when God spoke to him.
Paul and Silas were locked in prison when God shook the doors open.
Some places may feel far from everything, but no place is too far for God to meet you there.
“Kwa kuwa ulikuwa wa THAMANI MACHONI PANGU, na mwenye kuheshimiwa, nami NIMEKUPENDA; kwa sababu hiyo NITATOA watu kwa AJILI YAKO; na KABILA za watu kwa ajili ya MAISHA YAKO.”
~ Isaya 43:4
Ask God to restore your appetite for life. Your ideas. Your energy. Your curiosity. Your confidence. Your hope for the future. Sometimes you don't need a completely new life. You need to reconnect with the parts of yourself you stopped nurturing.
"Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita muwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili muweze kustahimili”. - 1 Wakorintho 10:13