@Cowwbama Bro angalia kama imewahi kishare namba zako za kadi na mtu au sehemu yyte online
Mbili angalia kama umeawahi kukubali link za hovyo
Hakuna bank inayofanya kazi ya kukuibia kihivo
Mwenyezi Mungu, nisaidie kukuamini hata pale ninapoona mambo hayawezekani.
Nijalie nguvu nisikate tamaa kwa sababu ya kuchelewa au vikwazo.Kama kuna kusudi uliloweka juu ya maisha yangu,niongoze kulifikia kwa wakati wako. Nifundishe kutegemea uwezo wako kuliko uwezo wangu.
Amina.
Mungu nifundishe kusubiri bila kulalamika na kuamini bila kuona.
Niondolee husda,kulinganisha na hofu ya kuchelewa.
Nipe bidii ya kujenga maisha yangu,na subira ya kusubiri wakati wako,Nisaidie kushangilia mafanikio ya wengine bila kusahau nawe una mpango kwa ajili yangu.
Amina.
Walau naweza kusema nimeona mengi.
Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.
Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.
Halafu nikapata ile habari yenye maumivu,