@AbroadTanzania@kilepi_tweve Alianzisha biashara ili ahurumiwe,huo nao ni utoto na LTRA nao wanakuja mbele na vitambi vyao eti tumesitisha
Biashara gani isiyo na ushindani??
Mtoto mmoja wa kaka yangu, maeneo ya mburahati aliagizwa sukari dukani, akiwa , alipigwa risasi ikapenya kwenye Ile sukari na na kumlenga kifuani amekufa na sukari yake mkononi nyingine imemmwagikia .
#NeverforgetOct29
@Happinesmlay Inategemea na location kuna location ambazo office inacover kwa ajili ya fundi na kuna location hua ni makubaliano kati ya mteja na Fundi
@MarekaMalili@Aloycemsaki Mtakeni Mungu na NGUVU zake, Pale kwenye bustanini wakati Yesu anaomuomba MUNGU mateso yamuepuke alianguka kifud fud na kujazwa nguvu kuikabili msalaba. So MUNGU ndiye atupaye nguvu ya kupata utajirii..omba nguvu za Mungu za kupasua mawimbi kila siku