Walevi wa ile bar wanadai โMpwaโ hajalipwa hadi leo bilioni zake
Hakuna kesi ngumu kutoboa kama ku-deal kesi na kampuni za film za Marekani,
Majani alitumia pesa nyingi sana kushinda ile kesi na kulipwa, Mawakili US kuwalipa ni hela ndefu sana picha linaanza.
๐TAARIFA KWA UMMA๐
Kusitisha kwa muda Leseni ya Huduma za Maudhui Mtandaoni Iliyotolewa kwa Vapper Tech Limited (Jamiiforums).
Bofya kiungo (link) hiki https://t.co/dsRYElbYs4
@kirigitim Mwanza To Dar.. Wahudumu Wake Majeuri Sana.. Ukiwa uliza Jambo Ili Upate Msaada Anakujibu Hovyo.. Kuna Muhudumu Mmoja Ana Hudumu Kwenye Bus T420 EDR Mnene Kidogo.. Ana Dharau Sana. Tangu Hii Siku Nikawatema Hawa Jamaa