@zoetjesheeftX Tuna wagonjwa wetu, wanatahiriwa watu wazima, halafu wanasafishwa na ma nurse wa kike unataka kusema nini...
Doc. Aache ku crack aje afanye dressing
@eastafricatv@diamondplatnumz Mpaka wenzie wanaona aibu, mwenzao anvyo jibu ๐๐๐
Hawa wanafaa, lakin wawe wanaangalia mada za kuleta. Unaleta mada ipi kwa nani, Sasa mwanne unamuuliza habari za Kidjo, daaah๐
Mswazi, mswazi tu... saana anajua ya tandale..
Mastaa wa nje, ziende kwa kina Milla, Ommy n.k
@mkongwe325 Dar kama vi last Born yan ๐
Mwanza unashushwa Nyegezi geto kisesa kona wa kayenze huko au busweli mmmq ๐๐๐๐๐
Kama ushushwe Mbezi urudi kibaha Picha ya ndege au kwa mbonde ๐๐๐๐๐