@Benji_Fernandes "Mfumuko wa bei" ni mwizi wa kimya kimya asieonekana kwa macho ila anaiba hazina haswa! Mfano kidogo tu; 1M Cash uliyokuanayo mwakajana na bado unayo,haina uwezo wakununua ambacho ungekinunua mwaka jana kwa 1M...kwa sasa lazima uongeze % fulani ndo ukinunue! Vp 10M ya 6yrs ago!?
@MsomiKhan18 PAYE inakatwa kuanzia 271,000,chini ya hapo haikatwi.
271,000 hadi 520,000 inakatwa 8%
521,000 hadi 760,000 inakatwa 20%
761,000 hadi 1,000,000 inakatwa 25%
1,000,000+ inakatwa 30%