Chemist | Lab Technician | Former QA Supervisor Shelys Pharmaceutical | Former Prime minister at ARUSHA TECH COLLEGE l Apparatus & Chemicals Supplier I Dalali
#TajiriLaKihaya
Prayers have now finished for the funeral of Ayatollah Khamenei in Tehran
His coffin will is displayed for public viewing until the ceremonies move to Qom on Tuesday.
Jamaa ni bodaboda kapata mteja wa kumpeleka UDOM Usiku , akafika getini wakatoa vitambulisho wakapita akampeleka mteja wake mpaka hostel.
Sasa wakati anarudi njiani akakutana na dada flani hivi mzuri wa wastani amevaa kinguo kilichompendeza japo kimeacha mabega wazi .
Akamuuliza unaenda mjini . Dem akasema ninaenda ila Sina Hela 👇👇
@azamtvtz hiki kipindi Cha Mzuka wa World Cup hao jamaa wakipunguza makelele na kujadili vitu serious basi itakuwa poa sana . Walianza vizuri tu ila siku zinavyozidi kwenda wanazingua sasa.
‼️DEREVA WA MHE. HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU DAMU ZIMETAPAKAA SAKAFUNI.‼️
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Asante sana kwa heshima hii. Mungu awabariki. Mama atakuwa amefurahi sana, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina.
Nawashukuru kwa kufika nyumbani kwangu kutusabahi. Sisi ni ndugu!
Mnakumbuka kuna janja mmoja mchekeshaji alijiongeza akampa mzito wa jamhuri zawadi ya cheni? Mnalikumbuka lile tukio wakali au niwajuze kilichojili baada😅
#TajiriLaKihaya
Ila twende mbele turudi nyuma…
AZAM TV hii World Cup wameupiga mwingi mno!
Wameipania saana aisee🙌🏾🙌🏽🙌🏽
Hii HD hata Supersport hawaoni ndani😃
Studio ndio kabisaaaaaa…
Kiufupi Azam walijipanga…
Supersport walituchelewesha mno… hawa wakipata EPL na UCL ndio utakua mwisho wa DSTV Tanzania!
Pumzika kwa amani Mzee Pandisha. Umetuachia pengo kubwa ambalo halitazibika, lakini tutayaenzi mema yako yote na busara ulizotushirikisha. Mwenyezi Mungu akupokee kwa amani. 🙏🏾😔
Hii ni TUNDUMA wanangu.
Na hii ni nyomi ni baada ya MKURUGENZI kuleta UHUNI wake wa kuhamisha eneo la mkutano kutoka Tunduma MJINI na kuuhamishia 15KM nje ya mji.
Lakini UMBALI SIO ishu ya kuzuia watu kufuata IBADA YA HAKI. Asante sana CHADEMA kwa kuleta injiri kwenye mkoa wetu ambao tulipoteza ndugu zetu wengi sana kwenye maandamano ya MO29.
Asante wapenda haki wote mlioshiriki IBADA HII YA HAKI na poleni kwa USUMBUFU wa wakoloni weusi.
REPOST 200
#KatibampyaFreeTunduLissu
#FreeTunduLissu