@ngurumo Ulitaka ajibu vipi ww choko, ww una uhakika gani kama sare hamna kwa kota masta,na ndicho kilikukimbiza nchini kwa umbea wako na wangekunyoosha uliponea chupu chupu kenge maji ww.
@MsigwaPeter Tambua Gen. Mabeyo kaanzia private,jr NCO,Senior NCO,Afisa hadi senior Ofisa kwenye jeshi hilo misingi ya kijeshi anaijua sana kuliko ww raia usie na mbele wala nyuma.
@DaudiMkwela@fredkavishe@MarekaMalili Jeshi halisukwi kama nywele ww bro,jeshi ni jeshi ndo maana linatumia silaha za kivita ifikie mahali muelewe jeshi ni chombo cha kupambana na si chama cha wakulima boya ww
@MsigwaPeter Sema umekariri kuwa TPDF ina kazi moja kumbe si kweli,ungejua jw inahakikisha uwepo wa utulivu na amani ndani ya nchi sio kuangalia "ADUI" wa nje tu bali hata wa ndani nae lazima aangaliwe CDF yupo sawa sema nyie mnajufanya kulipangia jeshi majukumu acheni ujinga.
@ngurumo Umepewa hifadhi halafu bado umeendelea kuropoka ila hapo scotland sio mbali utapumuliwa muda si mrefu maana hapa bongo uliponea chupu chupu watu wakakomeshea kichwa mgongo ukauponyoka now ungekuwa marinda yamefumka
@MsigwaPeter Sasa huyu Waziri kivuli anajua nn huku hana anachojua juu ya upolisi na misingi ya utendaji wake pia hana koz yoyote lakini full kubenua mdomo na kuelekeza m
@MLemunge@zittokabwe Tanzania ni nchi huru ina kila ya aina ya chombo cha ulinz kama jinsi mataifa mengine hivyo hakuna ulazima wa kuomba msaada ambao hata nyumbani upo HEBU ACHA UMAMA HUO.
@JifunzeT @d_nkya@godbless_lema Labda kwa mawazo yako madogo hayo unahisi kubishania mitandaoni utasaidia kwa lolote hoja yako peleka ofisi za malalamiko,mitandaon huku utakurupukia watu bila faida
@JifunzeT @d_nkya@godbless_lema Ww umempa kazi nani? ndo maana kuna ujinga unaendelea kuwekezwa kwa watu hadi wanajisahau na kuwa waropokaji hovyo hovyo.