NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Maelfu wamesaini wito kulitaka Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kumfuta kazi Jaji Chande.
Chande ni sehemu ya washauri wa Baraza kuhusu haki za binadamu Sudan.
Alitumia turufu hiyo kujaribu kumsafisha muuwaji Samia huko UN.
Kwa ripoti ile, hana tena uhalali.
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria..
Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi?
Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Asante sana wakili msomi Mwabukusi
Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface
Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁
#FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Balozi Polepole bado yupo kwenye mikono ya wauwaji kwasababu alisalitiwa na Mzee ambaye kwasasa anapigania uhai wake kitandani. Kabla hajaondoka aite press halafu atuambia ni nani aliyemteka Balozi?
Kwa kweli Bongo Zozo Sisi Watanzania hatuna cha kukulipa ila tunaona juhudi zako za kusimama katika ukweli na haki, Mungu azidi kukutunza na kukufungulia milango ya mafanikio.🫡
Majibu ya @SuluhuSamia kwenye interview na @Salym
yamejaa kiburi, dharau,makasiriko, swali juu ya swali, kusuta, Hii sio sahihi, anatakiwa kufahamu yeye ni Rais na majibu yake yanatakiwa kureflect Taasisi ya Urais.
@mawasilianoikul msaidieni Rais!
“Wakati nazungumza na Rais Samia leo, nimemueleza kwamba mimi ni mbunge pekee bunge lililopita ambaye sikulipwa stahiki na mafao yangu halali, na Rais Samia akanidokeza kwamba Job Ndugai alimueleza nimelipwa na sidai chochote. Rais amesema atalishughulikia hilo” - @TunduALissu
The Judiciary is totally Compomised, Tusitegemee Haki kutoka Mahakamani, Mahakama inafanya maamuzi kwa kusikiliza Sauti toka Magogoni. Ndo Maana tunataka
#KatibaMpya ili Mahakama zetu ziwe Huru!
Dunia nzima inajua #MboweSioGaidi hata kama mkiamua kumfunga.
Familia za BEN SAANANE, AZORI GWANDA na wengine WALIOPOTEA kisheria zinaweza kwenda MAHAKAMANI kuiomba mahakama itoe AMRI kwa Serikali IELEZE watu hao WAKO WAPI? Ikumbukwe kisheria serikali inawajibu wa KULINDA RAIA na MALI ZAO.
As long as @SuluhuSamia govt remains mum to the question #WhereIsAzory - we will continue to demand answers
#WhereIsAzoryGwanda after 4 years no answers!
Mtu una”potea”je eti? Walipoanza hawakuishia na Azory - tusikae kimya! 👊🏽