Watanganyika wenzangu, tusikubali kuondolewa kwenye reli! Propaganda za CCM kuhusu Mhe. @HecheJohn kala pesa ni janja ya kutupotezea mwelekeo tu. Agenda yetu kuu inabaki imara na haitingishiki: KATIBA MPYA na #FreeTunduLissu. Tusimame kidete kudai haki na mustakabali wa nchi yetu! 🇹🇿✊🏾 #KatibaMpya
‼️ALERT‼️🚨
Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, walivamia nyumbani/dukani kwa Yoram Mbyela ambae ni muuzaji wa sare za CHADEMA kisha wakachukua mzigo wote ulikuwa dukani na store (Matisheti, kofia, bendera, kombati n.k) na kuondoka nao.
Sasa baada ya Madalali wa project ya kumchafua Mhe. John Heche kukosa Viongozi wa CHADEMA wa kuwaunga mkono kwenye usenge wao, Jeshi la Polisi Kinondoni wameamua kuwaazima Madalali hao matisheti ya CHADEMA so kuanzia sasa watakuwa wanaokota watu huko mitaani na kuwavalisha hayo matisheti na kuwambia wajitambulishe kuwa wao ni Viongozi wa CHADEMA wa Wilaya/Mikoa then wamtukane HECHE.
Mtu ambae anaratibu zoezi la kuwavalisha nguo za CHADEMA wahuni ambao wanawaokota huko mtaani ni huyu mwanaume kwenye hii picha anaitwa Gervas Mgonjaa ambapo anashirikiana na Emmanuel Masongaa yule Shoga wa upareni Mchome pamoja na vibaka wenzao kwasasa wamepangiwa Lodge pale Rombo Greenview-Shekilango na mipango yao yote wanapanga kutokea hapo.
Huyu Mgonjaa alikuwa CHADEMA, mwaka jana alienda CHAUMA aliahidiwa atapewa jimbo 😂 baada kunyimwa Ubunge, sasa hivi ameamua kuendesha maisha yake kwa kufanya biashara ya ukuwadi wa SIASA. Namba ya Mgonja ni +255754585205
Huyu Dada pembeni yake ni mkewe anaitwa Beatrice namba yake ya simu ni +255755375191.
Ambao namfahamu huyu Beatrice mwambieni aongee na mmewe, amwambie hii biashara ya ukuwadi anayofanya siku sio nyingi itamtokea puani.
Tumekubaliana hii nyumba tunamalizia kwaajili ya wafanyakazi wake
Tupeni ramani nzuri kwaajili ya gorofa la makamu mwenyekiti wetu @HecheJohn
😅 maoni kutoka fb
TUMEBAKIZA TSH. LAKI 9 PEKEE ILI KUFIKIA MILIONI 50✌️
Tumebakiza TSh. laki 9 tu kufikisha TSh. Milioni 50. Tukifikia hatua hiyo, tutakuwa tumekusanya TSh. Milioni 50 ndani ya saa 96 pekee, sawa na siku 4.
Hii ni hatua kubwa, lakini hatuwezi kufika huko bila mchango wako.
Tufikishe Milioni 50 kabla ya saa tatu usiku leo🔥
Tuma mchango wako sasa:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mchakato wa #KatibaMpya haupaswi kupuuzwa na serikali, kwani ni sauti ya watu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho ili kupata Taifa lenye msingi wa haki, usawa na maendeleo #WenyeNchiWananchi
Chawa wanatuambia hii ni moja ya Apartment ya Makamu HECHE inayojengwa kwao TARIME.😆
Kwamba hii ni Apartment au UCHAFU? Makamu anataka wapangaji wakaliwe na NYOKA PORINI?
Anaendesha hii project kichwani mwake kumejaa FUNZA wazee sio bure. Kweli ndio mnataka KUBOMOA chama kwa huu uchafu?
Hizi kejeli kwa MAKAMU WETU NDIO ZINATUPA HASIRA KUCHANGIA ZAIDI MAMAE ZENU.
Kila mchango una thamani, bila kujali ukubwa wake.
Kila anayechangia anaweka jiwe muhimu katika kufanikisha Baraza Kuu la Umma na kuendelea kujenga chama imara cha Watanzania kwa maslahi ya Watanzania.
Simama upande wa umma kwa kuishika mkono CHADEMA.
#TANZANIA: LISSU’S WIFE SAYS FAMILY SHATTERED AFTER YEAR WITHOUT CONTACT
Alicia Lissu, wife of Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, has revealed she has not seen or spoken to her husband for a year since his arrest on treason charges, describing the ordeal as one of fear, pain, and lasting scars.
Speaking to BBC Africa Eye from Belgium, where she currently resides, Alicia said the first months after Lissu’s detention were devastating:
“The first three months were very difficult. I was overwhelmed with thoughts. Our family lives with scars. When I saw Tundu arrested and eventually charged with treason, I lost hope.”
Lissu, 58, chairman of the opposition party Chadema, was arrested in April 2025 while leading a campaign under the slogan “No Reforms, No Election.” Authorities accused him of inciting citizens to reject the 2025 general election, leading to treason charges.
Under Tanzanian law, treason is a non‑bailable offense and carries the possibility of the death penalty if convicted. Alicia said the severity of the charges has left her fearful for her husband’s safety, noting that she now relies on lawyers and relatives for updates on his case.
The Tanzanian government has denied claims of shrinking political freedoms, insisting that under President Samia Suluhu Hassan, political parties and citizens have been allowed to hold meetings and activities.
Hapana vijana Hatujamezeshwa sumu. Tumeona watu wakipotea, wakibambikiwa kesi, watu wakitekwa, watu wakiuawa kwa maelfu. Na katika yote hayo, hatujaona uwajibikaji.
Tumeshuhudia Tundu Lissu akibambikiwa kesi ya uahini. Hayo yametujengea chuki. Hakuna sumu zaidi ya hayo!
Asanteni sana Watanzania mpaka sasa tumefikisha milioni 24 tuendelee kuchangia CHAMA ili kiweze kufanikisha kuitisha Baraza Kuu.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
FACT:
- Huu ni mkopo na inakuja na riba
- Pia pesa inatoka kwa awamu na masharti ya malengo maalum
- Haitaweza kuziba ufa inayotokana na kuminywa kwa misaada na utalii kudorora na wawekezaji kukimbia!
Mnalisha upepo wajinga tu ila #TutaelewanaTu
"Watanzania ambao mna imani na tumaini kubwa na CHADEMA, namna ya kuisaidia CHADEMA mojawapo ni kuichangia CHADEMA." Mhe. @jjmnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA
Tunaendelea kuwahamasisha wanachama, wapenzi na Watanzania wote wenye imani na matumaini makubwa na CHADEMA kushiriki katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 15.5, na tunaendelea na safari ya kufikia lengo letu. Kila mchango una thamani, na kila shilingi inayochangwa ni sehemu ya kuijenga CHADEMA imara na kuwezesha utekelezaji wa shughuli zake.
🚨SOMA HII🚨
‼️MBINU MPYA YA KUJARIBU KUBOMOA CHADEMA HII HAPA‼️
Baada ya jaribio la kumwua Heche na fitna za mitandaoni kufeli sasa kimama kiuaji amewahusisha viongozi na wafuasi wa CCM, CHAUMMA waliowahi kuwa Chadema pamoja na mamluki ndani ya Chadema kujaribu kufanya collective action kumwondoa @HecheJohn eti wamtoe Lissu akiwa mnyonge na akute maridhiano imeanza! Baadhi ya viongozi wa dini wameshapangwa waende kumwangukia kimama!
👉🏽Mbinu hii inahusisha baadhi ya watu waliowahi kuwa JOC wa CHADEMA kwa maana ya Jimbo Operation Commander - hawa walitumika kwenye masuala ya uchaguzi Chadema chini ya uongozi wa awamu iliyopita na baadhi walishawishiwa waende CHAUMMA ila wametoka mikono mitupu !
Sasa wamepewa kandarasi ya kuhonga viongozi wa wilaya CDM waende Dar kwenye press conference waanze kumlalamikia Heche na kutaka ajiuzulu!
Wanalipwa milioni 1-3 kila kiongozi wa wilaya na wamefika wilaya nyingi nchini ikiwemo baadhi ya wilaya za Tanga, Lindi, Mwanza na Pwani!
Mbali na hawa JOC pia baadhi ya viongozi waliofukuzwa au kuondoka kwenye chama wanahangaika na simu na nimeshapewa audio nyingi ila kwa sasa sitaweka wazi kwanza ili waje wajae 😁
Nacheka maana nimefurahishwa kuona kuna viongozi waaminifu wengi ndani ya Chadema waliokataa kurubuniwa 👊🏽
Wito kwa viongozi WOTE wa wilaya na wengine MSIRUBUNIWE! Hawa wanaowahonga milioni 1-3 wamepewa milioni 5 na zaidi kuwahonga kila mmoja wenu na wamekula pesa - so mmeshaliwa mkipokea pesa
Pili hizi pesa zina damu za ndugu zenu watanganyika - msijiletee laana na msijimalize kisiasa kwa bei chee! Atakayetoa pua kuongea mambo ya Heche sijui nini anajimaliza kisiasa milele!
👉🏽Pia mkakati unaendelea hawa watakaonunuliwa waende kuvuruga Baraza Kuu ingawa Tundu Lissu LAZIMA kimama amwachie mapema so hii naona ndo useless kabisa!
👉🏽Na mwisho kabisa wanataka hawa viongozi waandike barua kwa msajili wa vyama kumshtaki Heche! Watengeneze crisis! Stupid kabisa 🚮
Sasa narudia atakayekubali kufanya hii kazi ya kishetani nitamshangaa atakuwa ni mpumbavu! CCM na kimama wanapumulia mashine na tunaenda kuzima mashine! Sasa tukishakomboa nchi mmepanga kuishi vipi na hii aibu ya usaliti!
ACHENI ❌
Hakuna pesa inayoweza kununua heshima!
Chadema imeshapata idhini ya Mungu pale ambapo Januari 2025 walipochagua hii timu ya uongozi! Na mmelipa gharama kubwa kufika hapa msikubali kurubuniwa na vijisenti wakati kuna neema kubwa mbele
KATAA WAHUNI ❌
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu