Environmental Engineer (CEng) - TSF Engineer (APP) | Member ANCOLD, Tanzania Chamber of Mines (Env & safety) & AMCHAM Tanzania | CEO City Engineering Co. Ltd.
Tanzania holds 6% of global graphite reserves, and is projected to produce over 300,000 tonnes a year within seven years.
Major projects are advancing fast. Get the full picture in our free Tanzania Business and Investment Guide 2026: https://t.co/QVRHNAVnim
#Tanzania#Graphite
🚨 REKODI YAVUNJWA TENA! 🚨🇹🇿🇹🇿
Sekta ya Madini Tanzania imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo hadi tarehe 18 Mei 2026 imekusanya zaidi ya TZS Trilioni 1.203 sawa na asilimia 100.31 ya lengo la mwaka. ⛏️📈🇹🇿
Mafanikio haya si takwimu tu — ni matokeo ya:
✅ Mageuzi madhubuti katika sekta ya madini
✅ Kuongezeka kwa imani ya wawekezaji
✅ Uwajibikaji na uwazi ulioimarishwa
✅ Ushirikiano bora kati ya Serikali na wadau wa sekta
✅ Mchango mkubwa wa sekta ya madini katika kukuza uchumi wa Taifa
Sekta ya Madini inaendelea kuthibitisha kuwa ni nguzo muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, ajira, mapato ya fedha za kigeni, na utekelezaji wa dira ya Tanzania yenye uchumi imara na shindani. 🌍✨
👏 Pongezi kwa wadau wote wa mnyororo wa thamani wa madini kwa mafanikio haya makubwa. Kasi hii iendelee kwa maendeleo ya Taifa letu.
#Madini #Tanzania #SektaYaMadini #Uchumi #Uwekezaji #Mapato #Maendeleo #MiningSector #TanzaniaMining #MadiniNiMaishaNaUtajiri #Vision2030 #EconomicGrowth #AfricaMining #SustainableDevelopment
Business is built on trust. When credibility is earned, access to capital follows: enabling businesses to grow, scale, and create lasting impact.
Productive engagements in #Mauritius with leaders from the banking and financial sector, focused on strengthening long-term partnerships, investment, and growth across Africa.
#MoBusiness
Sababu ya kwanza ni kwamba wenzetu wameanza biashara muda mrefu. Nyingi ya hizi familia za kitajiri za Kiarabu na Kihindi unakuta biashara ilianzishwa na babu tangu hata Tanganyika haijapata uhuru.
Ila pili na kikubwa zaidi, wenzetu wanaandaa na ku-execute succession plan vizuri sana. Watoto wanaingizwa kwenye biashara taratibu tangu wakiwa wadogo. Sisi weusi unakua na biashara na hata mke na watoto wako hawaijui ukifa ndio imekwenda na maji😂.
Tatu wenzetu wanaweka mifumo mizuri (formalization) kiasi kwamba hata mkubwa akifa/akistaafu hata mtoto akipewa u-MD wa kampuni mambo yanaenda. Sisi tuna biashara personality based muanzilishi akifa watu hawajui hata alikua anafanyaje mambo yaende 😅.
Ila la mwisho, labda ni kutokana na wao kuwa minority kwenye nchi ila wanapeana sana support. Wanakua na community zao ambazo zinasaidiana sana kuanzia kukopeshana na kuunganishana kwenye biashara. Kama vile Wayahudi.
Kww kifupi wenzetu wanajenga biashara za kudumu vizazi na vizazi. Sisi tunajenga biashara tutajirike haraka tununue vitu vya kuoshea watu😃.
🇹🇿 Tanzania continues to strengthen its position as a premier destination for responsible and strategic mining investment.✨️
President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, together with the Minister of Minerals, Hon. Anthony Mavunde, today held discussions with executives from Perseus Mining Limited and Sotta Mining Corporation Limited at Chamwino State House in Dodoma.
The engagement reflects Tanzania’s continued commitment to creating a stable, transparent and investor-friendly environment that supports sustainable growth of the mining sector, value addition, job creation and long-term economic transformation.
Under the leadership of H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, Tanzania’s mining sector continues to attract global confidence and strategic partnerships that contribute to national development and shared prosperity. ⛏️🌍
#Tanzania #Mining #Investment #Minerals #Africa #EconomicGrowth #Leadership #MiningIndustry #TanzaniaMining #StrategicPartnerships
Artificial intelligence is reshaping the future, opening new frontiers for economic and social development. U.S. firms are at the forefront of innovation, advancing large language models that are changing how we live, work, and interact.
The U.S. embassy is launching a workshop series focused on using AI as a tool to solve real-world challenges. The first session in the series will take place on April 23 at the American Corner located in the National Museumor you can join us virtually via https://t.co/Ca6ynvHESQ.
Participation is free and open to everyone.
Don’t miss this opportunity to expand your knowledge and stay ahead in the digital age. Stay connected on our social media platforms for updates on upcoming sessions and topics.
Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu. Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.
Zaburi 139:23-24 🙏🏽
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Balozi Ombeni Sefue amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda mfumo jumuishi na timilifu (360-degree ecosystem) wa kutambua, kulea na kukuza wajasiriamali wadogo nchini.
"Lakini kwenye hili Mheshimiwa Rais kauli si mali. Tujiulize ni kwa nini bado wananchi wanalalamika? Mheshimiwa Rais, kwa niaba ya wenzangu tunakuomba sana usije ukamaliza muda wako wa uongozi bila kuwaachia Watanzania mfumo timilifu kamilifu jumuishi, 360-degree wa ecosystem ya kuwatambua, kuwalea na kuwakuza wajasiriamali wadogo wa Tanzania. Ukifanikiwa hili, ajenda ya uchumi shirikishi itatimia na hao wajasiriamali watakuwa na mchango mkubwa sana katika mapato ya taifa," amesema Balozi Sefue.
Life is temporary, but the impact we create through service lives on.
Let’s continue building with purpose, strengthening our communities, and leaving a legacy that goes beyond us.
#OneIn10Million#CommunityImpact#MoDewjiFoundation
“Those who would judge us merely by the heights we have achieved would do well to remember the depths from which we started.” — Kwame Nkrumah
//
Wanaotuhukumu kwa vilele tulivyofikia, ni vyema wakumbuke kina tulipoanzia.” — Kwame Nkrumah
#Mo#Weekend