@DanChepta Naskianga makagary ya hawa majamaa ni gold ukifika nayo pale Tz. Na ni kama vile ile jamaa ya class three iliskia ivi ikaamua kumkimbiza kwa jirani na ivio ndio mzigo ilienda sai lazima itumie hako kagari
@Lightcasttvke Ngojeni ile siku GenZ watakasirika tena. Watakuwa wanaitisha payslip yako wanapiga hesabu then utaeleza kama hio kuwork hard ndio imekupa mali