Tushasaidia wengi na hii naomba pia kwenu wakuu. Binti wa kimaskini toka Iringa UDSM B.A in Economics
Kakosa kabisa mkopo, wakati tunapambana HESLB wampe mkopo, kwa sasa haezi kuwa registered bila kulipa TZS 1,347,000/
Control No. 991270691462 lipa hata BUKU 2 tuokoe ndoto 👍
Kitaalamu ni kwamba mjasiriamali ana asilimia 5-20 kuweza kuuza bidhaa zake kwa mteja mpya na asilimia 60% - 70% kuuza bidhaa zake kwa watejawake wa zamani.
Je! Ni njia gani zinaweza mfanya customer kuwa repetitive customer and loyal? (CUSTOMER RETENTION)
Cheers to my Woman, leo ni bday yake, She trusted me nikiwa sina kila kitu, actually nilikua na kitanda na Godoro tuu, huyu aina ya mtu sio anapata 50/50, yaani anakula 💯 yote 😄
I love her ❤️
Mungu ni Mwema
Hatimaye leo 26/11/2021 rasmi nimemaliza shahada yangu ya kwanza (Degree) kutoka SUA
Ahsanteni wote mliokuwa pamoja nami katika kipindi chote
Elimu: Degree - Animal Science (SUA)
Sasa nipo tayari kwa changamoto mpya.