@Roma_Mkatoliki Ila bro fans kulinganisha rappers sioni ni tatizo. Tatizo ni rappers wenyee kutokuwa na uhusiano https://t.co/m7U09zCcoP kushindanisha rappers huu ndo utamu wa mziki huu na hii ni kutokana na upekee wake.huwez kuwa unasiklilza rappers 2 halaf ukose kufanya uchambuzi.
@eastafricatv Na kweli tunaona maisha ya watu yanavyobadilika kutoka uzima mpaka ulemavu, uhai mpaka kifo umasikini mpaka ufukara, hapo umeongea haki kabisa Wasira
@JabirSaleh@rado Rado reaveled himself he was nothing but a bubblegum mc, alikuja na joints mbili tatu za kubahatisha then he got https://t.co/V47DGDHJj3 other words we can say Fid is better then him.
@onetheincredibl@LucasOdero8 Nimeelewa somo na mimi nimeleta Hoja. Msingi wangu ni kwamba kilinge hakijaenda umbali huo, bado ni andaki la kuhifadhi ubora watu kiuandishi na sio jukwaa la kufanyia biashara.
@onetheincredibl@LucasOdero8 Hakuna but hawajafikia kwenye nafasi ambazo nyie mlifika.mi nilikujua uno and other tamaduni artists kupitia media.kilinge hakikuweka jina lako kwenye midomo ya watanzania. So, hapo unaweza kuona nguvu ya media dhidi ya vilinge. Sina maana napinga vilinge.
@LucasOdero8@Goonerholic57@onetheincredibl MI naona vilinge vilisaidia kuwa shape wasanii kiuandishi lakini sio kujitegemea kibiashara. Hakuna artist yeyote aliefanikia kibiashara kupitia vilinge. Na hili tunaliona wasanii hao wanapotumia media kutangaza miradi yao.
@LucasOdero8@onetheincredibl Wasanii wa tamaduni wenyewe zimewatambulisha media kwa watu. Hapo cha msingi ni Kuja na media za kusapoti hip hop ndio njia pekee ya kufight mfumo. Sababu media inawafikia wengi kuliko majukwaa ya vilinge
@LucasOdero8@onetheincredibl Analosema uno halikufanikwa sababu vilinge havikuweza kuwa na nguvu zaidi ya media.Hata hao waliopita vilingeni tuliwajua zaidi kupitia media.wale walotegemea vilinge tu mpaka sasa Wana strive kukuza miradi yao.
@93Ramso@LucasOdero8@NikkiZohan kupatikana kwenye majukwaa ya kigijitali si kujulikana kimataifa.yeye mwenyewe amesema TI na Rozay wanajiona wametoboa kimataifa kwa kuona kazi zao zikipigwa Afrika Na sio kwa sababu wanapatikana mitandaoni hadi Africa.Bas ni Sawa tuseme na wewe wanakujua US sabab unapatikana X
@MarijaniHafidh2@LucasOdero8@NikkiZohan Wenye akili ndogo watamuona Nikki hapa kajibu kwa akili kubwa. Hivi kupatikana kwenye digital platform ndo kujulikana kimataifa?Hoja ni kujulikana kimataifa na sio kupatikana kimataifa. Haya nyie mnapatikana X humu tuseme ndo mnajulikana kimataifa.OK Unju anamjua Nani Nigeria?