Mwanaume anaweza akawa analipwa 600K tu kwa Mwezi mzima lakini atavaa atahonga atakula atalipa kodi atatuma pesa kwa mama ๐๐๐ Hivi viumbe Vimebarikiwa asee ๐ค
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN ndiye Rais mwenye PHD NYINGI ZAIDI DUNIANI. Asante sana mama kwa KUTUHESHIMISHA KITAALUMA. Pokea ๐๐ท๐น๐ฅ yako.