Kuna bro mmoja mtaani kwetu alikuwa anachukia sana wezi, akikamatwa mwizi mtaani basi bro anahakikisha mwizi anampiga hadi anakufa ila chakushangaza baadae yeye alikufa kwenye tukio ujambazi walivamiaga bank.
𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐔𝐙𝐀 : Kutokana hali ya Mawaziri Wakuu waliopita kutoka Kanda ya Kusini (Majaliwa) Kanda ya Magharibi (Pinda), Kaskazini (Lowassa na Sumaye), Kanda ya Kati (Malecela)
Kanda pekee ambayo haijatoa Waziri Mkuu ni Kanda ya Ziwa sasa ni zamu yao.
Kesho nitamtaja PM mpya
The Tokyo Metropolis has 14.27 million residents. Most are secular. In the East Japan Conference, which includes Tokyo, there are 53 Adventist churches, 8,013 members.Pray God’s love shines brightly in this city—through friendships, loving service and gentle Spirit -led witness