@HKigwangalla Ankol wazung wenyew awatak chanjo ujasikia uingereza uko kuhusu chanjo au ndo na ww ndo una upeo mkubwa ambao ahukusaidii kutambua unaendeshwa na akil za usiku unatokosea san heshima watanzania wenzako una tu betray
Watu wenye upeo mdogo ama waliotoroka shule wanapaswa kuchukua kalamu na karatasi na kujifunza lakini siyo kukosoa. Bila chanjo ya Corona uchumi wetu wa Utalii na biashara utaathirika sana. Kama kuna mtu anabisha aendelee tu ila tutaelewana ambapo tutapigwa bao na majirani zetu