@Lee_ian_Mosenya Ujitoe uhai sababu ya mwanamke? Amekutafutia kazi? Amekulimia shamba? Amekupa pumzi? Amekukata mikono? Sawa ijapo inaume jipe nafasi ya kujihoji wapi umekosea ww kunasehemu hukuwajibika!!! Tafuta chanzo na pia jipe moyo haya yatapita tu kitambo!! Siyo kila rafini ni rafiki kwako
@kigogo2014 Tatizo Siyo ww!! Tatizo kwako Kwa wazazi wako walikupataje mimba yako!! Wazazi wako wanadawa tangu mimba yako kutoka Kwa sangoma sasa unatakiwa upeleke mbuzi.Maana walichelewa kubeba mimba ilibidi waende huko Kwa sangoma bin karumanzira!!
@ExMayorUbungo Sasa walimpalia shida Baba yao!!! Ndiyo wajifunze kuwa na utu na ukweli moyoni!!waliyomtegemea hayupo!!yaani ni sawa na watoto wanaowekeza mioyo yao kwa wazazi wao wakiwa mali nyinyi wanaleta dharau kwa jirani na ndgu!! Hajui kuna kesho!!
@kigogo2014 Inawezeka anagawa ukiwa wanaaaa! Maana huwezi lalamikia kitu macho hujakijua na kukionya!! Inawezekana hao vijana alio yeye wakashindwa kazi kwake!!
@JamiiForums Nadhani kuna kaugonjwa kana msumbua!!! (Au ndiyo nguvu za nyungu?)maana nyungu zikizidi nazo zina madhara makubwa kama ya wavuta tumbaku vile!!!