Mtuhumiwa wa ugaidi leo anapandishwa kizimbani, kwa kuwa ni siku ya DEMOKRASIA Duniani basi wanasiasa uchwara na wanaofikiria kupata MADARAKA kwa njia zozote hata zisizofaa basi wajifunze kutoka kwa Mbowe aliyejaribu kutikisa kibiriti na sasa anaisoma namba, waliomtuma hao hapo
TAFAKURI
Unaweza ukajiuliza ni kwanini Mabeberu wanatumia nguvu kubwa kutetea upinzani hata katika maovu? Maslahi hasa yanapatikana vipi??? Malengo yao ya baadae ni nini??? Tanzania ni moja TUILINDE
*ASANTE RAIS SAMIA SULUHU KWA KUGUSA MAISHA YANGU NA WAFANYAKAZI WENZANGU!*
_Na Mwal. Udadis H._
Kusema ukweli ni muhimu sio tu kwasababu inakupa uhuru bali inakupa faraja kwa kuweka kumbukumbu sawa juu ya uhalisia uliowahi kujitokeza kabla.
Kwa watumishi wote tuliokuwa
KIKWETE AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza wajibu wake kwa ufanisi, huku akuongeza kuwa hadi sasa anaiongoza nchi vizuri na kuwapa wananchi matumaini.
*RAIS SAMIA SULUHU KUKATA KIU YA WADAU WA UTALII?*
_Na John Joshua, Serengeti._
Uwepo wa vivutio vingi vya utalii (vya asili) nchini umeifanya Tanzania kuwa kati ya nchi chache tajiri wa maliasili Duniani. Swali linalosumbua wengi ni kwanini Idadi ya watalii imeendelea kuwa
Rais Samia Suluhu asante kwa kuendelea kusimamia ahadi zako, Ujenzi wa miundombinu unaoenda sambamba na kutangaza utalii utafanya mabadiliko makubwa sana katika miaka ichache ijayo. #Msalato#InternationalAirport
Kuifikia #KatibaMpya hakuna shortcut, ni lazima elimu itolewe tena na tena, elimu ya kweli, sio ya kusingizia kila dhaifu la watawala kuwa ni katiba.
Baba @kigogo2014 katiba itafanikiwa pale tutapoacha kuwaza short-term (Tume ya uchaguzi for 2025) na sio longterm.
#kigogofan
JESHI letu la Polisi limefanya Kazi NZURI inayostahili pongezi, Ndani ya Dakika Chache tu, wamemalizana na huyo MUHUNI.
#KaziIendelee#TanzaniaSalamaNaSamia
@kigogo2014 Jeshi la Polisi limefanya kazi nzuri ya kumshughulikia huyo MUHUNI. Naamini wakichunguza vizuri anaweza akawa na vinasaba na Chama kile, Hayo ndio mambo wanayotetea. Heko sana kwa JESHI LA POLISI LIMEONYESHA USHUPAVU USIO NA KIFANI.
@kigogo2014 Waigizaji tu hao, Wanasusia Vodacom na Tigo halafu wanasambaza matangazo ya kuomba michango yenye namba zao za Vodacom na Tigo.
Leo wanaomba Serikali ikose pesa halafu 2025 kijiji kikiwa hakina maji watatuambia aliyesababisha ni Serikali ya CCM, Sasa hapo sababu ni CCM au wao?
โJe, Polisi tunajipangaje (na wanaotusi Watu mitandaoni kwa laini/simu zinazosoma kutoka nje ya Nchi) hii kwenye haki za Watu, Je kwenye usalama wa Nchi yetu?, naomba mkajipange vizuri na kama kuna mahitaji basi mtuandikie tuone jinsi tutakavyoweza kuangalia mahitajiโโโRais Samia