Dully wewe haufahamu chochote wewe ni mdogo sana, ngoja nikuambie kitu, timu ya simba haitowasaidia, hamtofanya chochote, hii trap mliyomset Mo na kajaa mwambieni kile kipindi watu walidhani JK yupo nyuma ya Dau.
Mnafanya utoto sana.
@DStv_Tz Tatueni tatizo langu au rudisheni kifurushi changu.
Mtu anajibu easy tu Channel zitafunguka . 10 days tangu nilipie Channel yangu pendwa haufunguki.