@Advocate_Jebra wameamua kutema bungo kwa kusogeza tatizo mbele wakizani linaweza jitatua lenyewe kuna uvumi wa majaji kukataa kesi hii je inaweza kuwa sababu wacha tuendelee kunywa mtori nyama zimetuama chini
Tundu tushampa Nondo zote zinazotakiwa kesho pale mahakama ya Rufaa!!
Kesho ni siku nyingine ya kiwanda cha elimu kutoka shule kuu ya sheria!! Tujiandae kupata burudani.
Kesho ni mwendo wa kuweka vyuma tu, Sisi hatuchekeshi kwenye maswala yanayohusu uhai na haki za watu.
Habari @PolisiTz huu ni utambulisho wetu kama wananchi kuhusu 7/7/2026 kuandamana kwa amani Madhumuni ya barua hii ni kuwaaarifu kama katiba yetu kwa kutumia Kifungu cha 43 cha Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Sura ya 322 inavyoelekeza tunaomba kuwasilisha
@HecheJohn@Swahili_25 Hivi makamu hamuwezi kueleza Dunia na balozi zote zilizoko hapa Tanzania na kuandika barua umoja wa mataifa walione hili kwa jicho lingine??
NCHI YA KAULI MBIU, MIKAKATI NA MIUNDO MBINU
Nawala hatushtuki wala kujiuliza tuko kama Kuku aliye katwa Kichwa.Tumezoea Ujinga na Ujinga Umetuzoea na kuota Mizizi katika Fikra zetu.
Tatizo la nchi hii siyo Misaada au Utitiri wa mikataba ya mahusiano ya kiuchumi ,kijamii na kisiasa. Tatizo ni UWAJIBIKAJI.
Kama Mungu ametupa kila kitu Ardhi yenye rutuba,Maziwabya Maji Baridi,Mito ya Kutosha iliyotapakaa nchi nzima,Madini,Misitu ya Asili,Mbuga za Wanyama na Idadi ya kutosha ya watu lakini tunanuka umasikini,ujinga na Maradhi unadhani tutakombolewa na mikataba hii ya kijanja janja?!
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo njia Pekee za kuliponya Taifa na kulirejesha katika uelekeo wa Njia ya Nchi ya Ahadi.
BAK MWABUKUSI.