Picha hii ya tatu na mimi nikajifanya STATESWOMAN nikaanza kutembea huku naongea nae. 😂😂 Hii ndio picha iliyopendwa na Mwalimu akaweka sahihi yake na kusema “For Fatma. With love from Julius K. Nyerere”. Nina Bahati sana kupendwa na mashujaa: I miss u JKN!
@official_rafc Ni ngumu Tena kumsifia samatta maana ametoka kwenye timu za upambanaj na kwenda soka la chni ameonesha hakui kisoka Ila ndio kwanza anaporomoka
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu za kumpata mwanachama atakayewakilisha chama hicho kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.
Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amesema mchakato wa kuchukua fomu utaanza kesho.