Nyie ndo chanzo cha yote hayo. Mnasababisha Serikali isiwahudumie wananchi kisha mseme upuuzi mwingine. Samia hatatoka,atamaliza kipindi chake na atakabidhi nchi salama. Wenye akili hatuungi mkono upuuzi
Kwani mnadhani wote ni majuha kama kundi lenu? Kwa akili ya kawaida nchi ikifilisika wewe utamudu maisha au kwa sababu hujitambui? Acheni kutuletea habari za kuokoteza vichochoroni kwenu. Msilete kwa wenye akili.
BREAKING: Rasmi, Hazina haina kitu. Miradi yote ya Serikali imesimama. Wakandarasi wa ndani wananyang'anywa mali na TRA na Mabenki. Kazi zinazoendelea ni za wafadhili World Bank ADB nk. Yaani miradi yote imesimama. SGR nk Kwisha. Nchi imefirisika! Halafu bado kibano cha Mabeberu
@mangekimambi@kenny_laizer Nilikuwa najiuliza kwanini mtoto wa Nzega?
DSM hata huko ZNZ wanatelekezwa mara kwa mara mbona hakuwahi kuchukua?
Kwanini wakati huu?
Vituo vya Masista kama pale Msimbazi center wanapokea watoto hata wa siku moja mbona hajawahi kuonyesha interest angalau ya kutembelea kituo?
TAFAKARI YETU ๐
Sina uhakika kama kuna watu na akili zao timamu kabisa wanaweza kuwaza na kudhani haya ni mambo ya maana kabisa kuyaandika na kuyashabikia na kutaka kuaminisha watu kama yana ukweli.!
Yaani Rais mwenye dhamana na utashi wa kuteua mgombea mwenza anayemtaka aje kuwa Makamu wake anaanzaje kufanya hivi? Huu ni ujinga unaosambazwa na watu wajinga na wapumbavu wanaowaza kuleta taharuki kila siku.
Hizi ni juhudi za hovyo sana zinazofanywa na watu wakiwemi wanaharakati uchwara kumchafua Rais, na makamu wake na kuichafua serikali!.. Yaani kila kukicha wanataka kuaminisha umma kuwa Rais na Makamu wake wako vitani na serikalini hakukaliki. Huu ni upuuzi ma ujinga wa hali ya juu sana na lazima ukemewe!.
Majitu majinga haya haya ndiyo yaliyokuwa yanasema sijui Rais anataka kubadilisha mgombea mwenza? Yaani kivipi? Kama haya mambo hamjui yanavyofanywa si mnauliza na mnaelimishwa kuliko kuwa wajinga hivi?
Tanzania kama nchi iko na mambo mengi ya kufanya sasa na serikali imeshachaguliwa na iko madarakani na ina jukumu la kuletea watanzania maendeleo na kutekeleza ilani siyo huu upuuzi na ujinga!
Taarifa za hivi ni za kijinga na zikiachwa zienee zinageuka kuwa ajenda na propaganda ambazo zinavuruga utulivu ndani ya serikali na ndani ya nchi na kupandikiza chuki zisizo na msingi!..
Watanzania wameshamaliza uchaguzi wako njia moja kuelekea 2030 kwa kishindo sasa kama nyie bado mko kwenye porojo na blah blah endeleeni halafu mje kusema mnaibiwa kura mara sijui katiba imefanyaje ๐ค
#KigogoMediaUpdates
Kinachokufurahisha ni watalii kutoingia. Unajua uchumi wewe? Inaelekea kweli MNALIPWA HUKO. Mnaharibu Nchi na kututesa Wananchi kwa Uroho wenu. Sasa natamani Magufuri angekuwa hai maana wote msingekuwa hapa na UHURU mnaoutaka angefunga kabisa. Unafurahia usaliti wa wananchi?
Utalii unachangia karibu 30% ya fedha za kigeni nchini, na kama mtu ninayetoka Arusha na kufahamu kwa undani tourism corridors, hali ilivyo sasa ni ya kutisha. Tour operators wamebaki na kazi moja, kupokea cancellations kila saa. Hawa tunaowaita โwafadhiliโ si watu wa kutumiwa kama mifano ya majigambo ya kisiasa. Hao ndio wateja wetu wakuu, watoa huduma wa kimkakati, na sehemu ya mifumo inayolisha uchumi mzima na sekta ya utalii. Ni kosa la kimkakati, na kiukweli ni aibu ya kiwango cha taifa, kwa Waziri wa Mambo ya Nje kutoa kauli ya kubeza kama hii. Katika mazingira haya, hatuhitaji kauli za kutengeneza headlines za kisiasa, tunahitaji uongozi unaofahamu geopolitics ya biashara, umuhimu wa foreign confidence, na athari za maneno ya juu juu kwenye sekta inayotegemewa na maelfu ya Watanzania. Huu si wakati wa kukwepa ukweli; ni wakati wa kufanyia kazi ukweli.