Kameibuka ka utaratibu wadau wanaahidi mfano ni mchango wa harusi afu wanakula nyoya😁🫵
Unashangaa mkeka mrefu ahadi za pesa nyingi nyingi tu ila wanaoziclear wanahesabika.
Nimekuja kugundua kila mbongo ni kanjanja😁 watu wamekuwa waongo waongo sana.
Si bora msiahidi wakuu wa wakuu💔
Dudu Baya alikua akipiga Keupe ni matusi tu kwa Clouds Fm na watangazaji wake
Kapewa Show ya siku moja karusha taulo na kuomba Msamaha… NJAA SIO MCHEZO 😂😂
Kuna mtu nilimshauri alinunue eneo sehemu Kigamboni akagoma na alikuwa na hela, ule mtaa nimepita leo kuna nyumba kali sana barabara ipo inapigwa kiwango cha lami(barabara ya mtaa)💔
Hakuna Mtu aliyechelewa maisha wala hakuna Mtu aliyewahi maisha, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora, Cha msingi ni kupeana heshima na kupeana moyo ikiwezekana kushikana mkono.