@OlengurumwaO Jiwe kuanzisha miradi yenye manufaa kwa Taifa wala hakuitaji wafanya biashara wa siasa..Alipanga na kupangua na matokeo yapo unayaona.Kuna muda maendeleo tusiaminishwe yanatokana na wanasiasa fulani au jamiii fulani ni zaidi ya uelewa huo
@HenryKilewo Ila bro Kilewo, kweli unaamini wananchi wa Mbezi Beach, Mbweni, Kawe, Afrikana, Salasala tutakuchagua uwe mbunge wetuππ
Mbona kina Kilewo wenzio wanafungua mabucha ya nyama ya nguruwe na wanatoboa fresh si nawewe ukafanye hivyo
Vijana wenye Tamaa za Fedha, Nyama na Pombe za bure wamekuwa wakali sana kwa TAL wamemiss Pombe na Nyama za Bure hawataki Harakati tena wala kuitoa CCM Madarakani wao ni Nyama na Pombe za bure tu! π
@Sativa255 Diploma ni njia ya uhakika kupita. Wapo wengi wenye dv 1.7 walienda kutaga form six.. Pia aliyemaliza Diploma anaweza anza maisha yake bila shida kwani tayali ni mtaalamu wa kozi husika while form six siyo mtaalamu