๐
KAWAIDA anasema Dkt.NCHIMBI alikutwa na makosa manne na wakaagiza aitwe kwenye Kamati ya Maadili ili atumie HAKI yake ya msingi ya KUSIKILIZWA kujibu tuhuma hizo. Je Mtu akikataa kutumia HAKI yake ya KUSIKILIZWA kwa sababu zake binafsi ndo anakuwa Mtu wa Kiburi na Dharau?.
Nimenoti kitu, kuna watu huku X wanaposti vitu vya msingi vya kudai haki ila profile za Instagram wanaposti just regular stuff and their personal lives na kujiposti picha zao. Yani wanafanya mambo opposite, kwenye platform ambayo ndio ina audience yenye uwezo wa kubadili nchi anaposti upupu ila huku kwenye platform ambayo haina effect kubwa kwenye movement zaidi ya kupiga domo ndio anaposti vitu vya msingiโฆ Lazma hii kitu ibadilikeโฆ..
SIASA ZITOKE X ZIPELEKWE INSTAGRAM, FACEBOOK NA TIKTOK. Hapo ndio tutapata mafanikio.
What I mean is, kama jinsi X ni platform ya siasa tuhakikishe Instagramโs Facebook and tiktok pia zinakuwa platform za siasa na sio platform za umbea tu anymore hapo ndo tutashinda. I know itโs easier said than done but I think we can do it.
๐
Ime-thibitishwa na Serikali ya Zimbabwe: Mfanyabiashara mkubwa wa Zimbabwe, Sir. Wicknell Chivayo na mkewe Lucy Muteke wamefariki kwenye ajali ya helikopta Marondera, Zimbabwe. Hakuna aliyepona.