@killo_killo11 Mtoto wa kike ndio atakaekuja kukuelea haya majambazi kwanza maoga yavkuanza maisha unakuta jitu linamiaka 25 bado linazengeazengea msosi kwa bimkubwa😀😀ila mtoto wa kike 25 yes awe ameolewa au hajaolewa tayari yupo na mishemishe za kusaka maisha na yupo anajitegemea
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17.
Lakini katika hali isiyo ya kawaida vijana hao walidondosha machozi jioni ya leo walipokuwa wanaongea na Kocha wao na kupata taarifa kwamba ile pesa 500M iliyoahidiwa na Serikali kupitia Waziri Mkuu bado mchakato wake haujakamilika, hivyo waondoke waache namba za akaunti zao za benki na pesa “urua” zitawekwa humo wao wakiwa majumbani kwao.
Tayari akaunti zao zinasoma 2M kila mmoja ambayo wameingiziwa na TFF, lakini mchakato wa 500M za Serikali unaendelea, wameambiwa pia kama watahitajika Bungeni watapewa taarifa pia, ila kesho baada ya chai asionekane mtu Tiffany Hotel.
Kinachowatesa ni historia kwamba mwaka 2024, wakiwa Kampala ambako walipata ushindi wa pili, waliambulia 700k, wakaambiwa waache akaunti zao urua ungewekwa baadeni, lakini hawakupewa. Mwaka 2025 waliambuliwa 500k wakaambiwa pia waache akaunti namba za benki na kwamba “mchele” ungeingizwa lakini haikuwa hivyo.
Hizo historia ndo zinawakosesha raha vijana na kuhoji kwamba ahadi ilitolewa Jumatatu na mechi ilikuwa Jumanne na wala haikuwa inasubiri matokeo ya mechi, ilisemwa kwa kufika fainali wanapata 500M na Viwanja Morogoro, kwanini mchakato haukuanza kabisa ili leo wakiwa wanavunja kambi mzigo uwe umeingia? Wanasema “mchuzi wa mbwa hunywewa ungali wa moto, ukipoa unanuka”
Binafsi naamini ni uelewa mdogo tu wa taratibu za kiserikali na kibenki (kiutendaji) kuhusiana na masuala ya kifedha, lakini vijana watapata chao, wao kukosa imani nawaelewa lakini wawe na imani na serikali, hawatopigwa changa. Ila nadhani baada ya hapa watendaji watachangamka kama jambo la dharura na vijana watashika chao baada ya muda mfupi.
✍️ || Jemedari Said
#MeaMswahiliUPDATES
Serengeti Boys wavunja kambi leo wataondoka kesho kila mmoja akiwa na 2M kutoka TFF, lakini walidondosha machozi baada ya kuambiwa waache namba za akaunti za benki kwajili ya kuwekewa pesa za ahadi ya serikali 500M ambazo mchakato wake unaendelea.
UPDATES | KARIA & TDS 👇
Rais wa shirikisho la soka nchini TFF, Wallace Karia analipa Ada ya shule zaidi ya milioni moja na laki saba kwa mchezaji mmoja kutoka TDS, Kwenye Kikosi cha Serengeti Boys wapo zaidi ya wachezaji 12 ambao bado wanasoma na Ada zao zote zinalipwa na TFF.
@INFLUENCERjr@cleansheet_1 Oya uyo jamaa ni pimbi haijui Barcelona kabisa sababu hata Hiko kipndi Cha Carlos puyo na yule bwana wa shakila pia ilikuwa inavuja balaaa Barcelona timu yetu inajengwa na viungo zaidi....kuliko eneo llte
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Pongezi kwa ndugu zake wameonyesha jambo la kizalendo kumasalimisha kituo cha polisi kingekuwa kile kikundi alichosemaga Dr Slaa kwenye kitabu chake mawemnasa wangemmalizia ukouko ili ionekane police wamemmaliza.
Mchagga OG 🎤 Mahusiano yako wewe na niffer yakoje maana mnaonekana ni watu wa karibu sana
Pattern 🎤 Kiukweli niffer ni mtu wangu wa karibu sana na ninatamani watu walijue hili niffer ni mmoja ya watu maarufu wenye moyo msafi mnoo na mahusiano yangu mimi na yeye ni ya kaka na Dada
-------------------------------
Li niffer licha kua ni mkali ila deep anaonekana ana moyo mzuri kweli, muda sasa wa vijana wa hovyo kuanza kula pesa zake 😂