Nimehudhuria ibada ya mazishi ya mwanafunzi wangu leo mchungaji akasema "..Makaburi mnayoyaona hapa yote yamejaa watu waliokua na uhai na afya kama nyinyi, Mungu akawatwaa kwa muda na namna alivyopendezwa yeye.. Kila uamkapo na ulalapo usiache kumkumbuka Mungu" Imenigusa sana