Mr YANGA SC:
Electrician,Updp region secretary Geita. Fikira huru na Tanzania πΉπΏ Tunayoitaka, Elim bora, matibabu bora na ulinzi wa lasili mali za nchi
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars hatimae kwa mara ya kwanza katika historia inafuzu kucheza hatua ya 16 bora ya AFCON 2025 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tunisia.
Tanzania anafuzu kama best looser akiwa ameambatana na Timu zingine zilizofuzu kama best looser ni Msumbiji, Benin na Sudan.
Angola alikuwa anaiombea Tanzania ipoteze leo ili apate nafasi ya best looser ila sasa wamefungana kwenye alama 2 na Tanzania na utofauti wa magoli -1 ila Tanzania anafuzu kwa kufunga magoli mengi 3 dhidi ya Angola aliyefunga mawili.
Hii ni mara ya nne Tanzania inashiriki AFCON 1980, 2019, 2023 na hizo zote ilikuwa inaishi makundi, sio mbaya kwenda kama best looser hata Bingwa mtetezi (Ivory Coast) alienda kama best looser 2023 π
#MillardAyoUPDATES
πππππ ππ πππ ππππ°πͺπ½
Viingilio vya mchezo wetu wa #CAFCL Jumamosi dhidi ya Silver Strikers
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 112
Anaendelea Wakili wa Serikali Thawabu Issa
Hii Meta Data ni nini hasa?
Meta Data ni Data about Data. Yaani picha mjongeo ni Data ndani ya Picha mjongeo kuna Data nyingine ambazo ni taarifa. Hzio taarifa zinaweza kuwa tarehe, jina na kadhalika. Taarifa hizo mjongeo zilizopo kwenye picha mjongeo ndio tunaita Meta Data.
Anasimama Renatus Mkude Wakili Mkuu wa Serikali huyu Baba ni mstaarabu kwakweli. Yeye muonekano wake hana nouma. Anaongea kistaarabu sana. Hana arrogance yoyote. Kwa kumuona tu haoneshi kuwa kisirani kama mawakili wengine wa Serikali.
Anasema kwa sasa ni saa saba naomba tupate break watu wakapate Chakula.
Majaji wanaandika kidogo.
Wanamuuliza Mshitakiwa. Anasema sina pingamizi.
Wanaandika kidogo. Wanasema sasa twendeni break tukutane baada ya lisaa limoja kutoka sasa. Tumeishia hapo kwa sasa. Tukirudi Shahidi ataendeelea kutoa ushahidi wake kwa maana ya EXAMINATION IN CHIEF ITAENDELEA.
Kumbuka jina la Shahidi ni SAMWEL ELIBARIKI KAAYA alkiongozwa na Wakili wa Serikali Thawabu Issa.
Tukutane baadae kidogo.
Naomba Repost yako
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 107
Mhe. Lissu: Uchaguzi wa 2019 Serikali za mitaa CCM ilipata asilimia 98 ya wenyeviti wa Vijiji?
Kaaya: Sina Kumbukumbu
Mhe. Lissu: Je unafahamu uchaguzi mkuu wa 2020 ndio ulikuwa na wagombea wengi wa ubunge kuenguliwa kuliko chaguzi yoyote toka uchaguzi uanze?
Kaaya: Ukikosa sifa unaenguliwa tu.
Mhe. Lissu: Wewe ni fundi viyoyozi mambo ya sifa unayajulia wapi? Haya jibu swali langu.
Kaaya: Sikuwahi kufanya huo utafiti.
Mhe.Lissu: Kwamba wagombea 63 kati ya 244 walienguliwa wa ubunge?
Kaaya: Sijawahi kuwa mwanaCHADEMA.
Mhe. Lissu : Hata magazeti husomi ndugu yangu?
Kaaya: Sifahamu mimi.
Mhe. Lissu: wagombea wa udiwani 1150 kati ya 3900 walienguliwa mwaka 2020 unafahamu?
Kaaya: Sina takwimu mimi. Sijui.
Mhe. Lissu: Wagombea wa CCM 872 wa udiwani walipita bila kupingwa kutokana na kuenguliwa kwa wapinzani kwa mujibu wa taarifa rasmi ya tume?
Kaaya: Sijawahi kuisoma hiyo taarifa.
Kaaya: Waheshimiwa Majaji mimi nilisikia wagombea walipita bila kupingwa lakini idadi ya 28 sikumbuki.
Mhe. Lissu: Mimi nasoma ndio maana najua walikuwa 28 wewe unatengeneza Viyoyozi.
Kaaya: Mimi ni askari Polisi sio fundi viyoyozi.
Mhe. Lissu: Kwahiyo hukusema hapa kuwa umesomea Air Condition? wewe ndio ulituambia haya mambo ya viyoyozi au nani alituletea?
Kaaya: Nilisema basi yaishe.
Mhe. Lissu: Kwahiyo toka 1995 hakuna mgombea hata mmoja wa CCM amewahi kuenguliwa kwa kukosa sifa?
Kaaya: Unaweza kuwa sahihi.
Mhe. Lissu: Waangalizi wa AU wa uchaguzi umewahi kuwasikia? AU election expert mission walitoa ripoti inayolalamikia kuenguliwa kwa wapinzani?
Kaaya: Nimewasikia lakini ripoti sikuisikia.
Mhe. Lissu: Je jumuiya ya Ulaya walituma EU election observation mission walituma waangalizi pia na kulalamikia kuenguliwa kwa wapinzani?
Kaaya: Silijui kiukweli.
Mhe. Lissu: Ongeza sauti basi unamnong'oneza nani?
Kaaya: Sijui
Mhe. Lissu: Je waangalizi kutoka jumuiya ya madola ambao ni Commonwealth observer group walitoa ripoti kulalamikia vitendo vya kuengua wapinzani?
Kaaya: Kweli.
Mhe. Lissu: Watizamaji wa Umoja wa Afrika walipendekeza kuwa serikali iondoe vikwazo vya kiuchaguzi kabla ya uchaguzi wa 2025?
Kaaya: Sina uhakika kabisa.
Mhe. Lissu: Waeleze Majaji kama unafahamu mashirika ya kiraia walituma waangalizi Tanzania?
Kaaya: Walitumwa kwenda wapi?
Mhe. Lissu: Kuja Tanzania.
Kaaya: Basi msemaji wa Serikali anazo hizo taarifa.
Mhe. Lissu: Msemaji wa Serikali ni shahidi namba ngapi?
Kaaya: Sijui
Mhe. Lissu: Shahidi hapa ni wewe jibu swali langu.
Kaaya: Sijui.
Mhe. Lissu: Sasa unajua watizamaji wa ndani pia wa Uchaguzi huu wapo nao wamekuwa wakitizama uchaguzi miaka yote wanaitwa Tanzania Election Monitoring Committee ikijumuisha viongozi wa dini na chuo kikuu cha Dar es salaam (TEMCO)?
Kaaya: Ni sahihi.
Mhe. Lissu: Je umewahi kusoma ripoti ya hao TEMCO hata moja?
Kaaya: Sijawahi kuziona hata kwa sura wala kuzisikia.
Mhe.Lissu: so huwezi kufahamu mashirika haya kuwa nayo yamelalamikiwa mfumo wa uchaguzi na kuondolewa kwa wapinzani?
Kaaya: Sifahamu na sio majukumu yangu.
Mhe. Lissu: Sasa mimi kulalamikia uchaguzi unasema nasema uongo kwanini wakati huna unalojua?
Kaaya: Kusema Rais ndio niliona kuna shida.
Mhe.Lissu: Uchaguzi wa mwaka huu mgombea Urais wa ACT Wazalendo ameenguliwa na Tume ya Uchaguzi?
Kaaya: Hajakidhi vigezo.
Mhe. Lissu: Kaenguliwa na tume au hajaenguliwa?
Kaaya: Kaenguliwa na tume kweli.
Mhe. Lissu: Je Mwenyekiti wa Tume na Majaji waliokataa kesi jana wote si wateuliwa wa Rais?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: sasa ulitegemea Mpina apate haki kutoka wapi kama wote aliokuwa anategemea wampe haki ni wateule wa Rais?
Kaaya: Ingekuwa ngumu sana kiukweli.
Part 108 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Hakika hakuna alie salama kwa hali hii, aliekua mtu mkubwa ndani ya chama tawala CCM anapotea!!??
Je, sisi tusiokua na ndugu hata polisi itakuaje?
#tutafakali kwa kina
Yeyote anaesimama na wananchi katika kutetea Nchi yetu ni mwenzetu..
Watanzania hili ni jaribio kubwa kwetu ya namna tunavyochukulia maisha ya wenzetu.
Hatuwezi kuruhusu Polepole na wenzetu wengine wapotezwe na kikundi cha wahuni kama vile kuku.
Huyu mtu amejitokeza kutetea wananchi na kueleza uovu wa utawala huu.
Kwanini watu wa ccm mko kimya katika hili?
Yaani watu waliofanya kazi na Polepole serikalini, ccm na kwingine . Marafiki zake, wote mko kimya katika kipindi hiki?
Huu ni unafiki na ubinafsi wa kiwango gani?
Huu ni wakati wa kusimama na Watanzania wenzetu wote wanaotekwa na kuteswa.
#freepolepole
@godbless_lema Hapo ndipo mnakosea sana ndugu zangu wana Chadema.kauli hizi ndio zinazidi kutugawa upande wa upinzani, mimi nazani tungetafuta njia yenye tija tukaungana, ili kumshambulia CCM. Badala yake mnakejeli jitihada za vyama vingine, kwani hata nyie mlipokua mnajitafuta kulikua CUF
Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Vilabu barani Afrika, Eng. Hersi Said, CEO Andre Mtine na Mkurugenzi wa Mashindano Ibrahim Mohamed wakifatilia droo ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwenye studio za Azam TV, Dar es Salaam.
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
@godbless_lema Shida kubwa kuna baadhi yenu lugha zinazotumika kuwazihaki wengine ndio sababu zakutokua wamoja, kweli tutaandikwa hadithi za ajabu kwa vizazi vitakavyokuja mbele yetu