Neil Ngala, Afisa Programu wa FCS akizugumza na Elina John kutoka SHIVYAWATA Rukwa kuhusu mradi wanaoutekeleza wa kuogeza uelewa wa Jamii kuhusu masuala ya ujumuishaji wa watu wenye ulemavu katika ngazi za maamuzi na katika masuala ya kiuchumi #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
''Sisi FCS tunapenda kuwajibika, kazi yetu kubwa sisi ni kupitisha rasilimali ziende kunufaisha wananchi. Nguvu tulionaye haiwezi kukamilika bila nyinyi wadau wetu, mkifanya kazi nzuri tutapata matokeo tarajiwa''~@KiwangaFrancis#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Day 3 of Manage Your Grants Training (MYG) in Dodoma with our partners. MYG provides support and expertise to our partners and helps ensure that grants are used effectively and efficiently during implementation of their projects.
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Ending Day 2 of the Manage Your Grant (MYG) training in Dodoma on a high note. 158 representatives from 79 organisations funded by @FCS attended the training in Dodoma.
Excited about what lies ahead tomorrow during the the final day of the training #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Tunamabadiliko makubwa sana katika ushirikiano wetu na asasi tunazofadhili. Sasa nyinyi ni wadau (Partner) wetu. Tunataka tuwawezeshe, tuwajenge uwezo na kuongeza nguvu kwenu ili uwe na nguvu ya kuleta matokeo katika jamii ~@KiwangaFrancis#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Day 3 of MYG training: In his closing remarks during the MYG session in Dodoma, @KiwangaFrancis stated the importance of auditing to FCS partners stating how audits provide institutional credibility & transparency
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Bartholomew Mbiling`i, FCS Information, ICT Officer highlighting various updates that have been made to our online Grants Management System, improving the management of the grant Lifecycle efficiently
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Brian Mosala Kutoka Idara ya Programu Ya FCS akimuelekeza Hamisi Hamadi kutoka Asasi ya TAYOBECO masuala ya kuzingatia ili mradi wao wa uwezeshaji Vijana kiuchumi ulete matokeo chanya
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
''MYG is an opportunity for learning and sharing the best practices amongst ourselves. I encourage our partners to work in partnerships, team up for opportunities and support each other'' @KiwangaFrancis#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
'' I encourage partners to be resilient, agile and adapt to changes in our operating context. Success will be possible with agility''~@Franciskiwanga#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Neema Makando, FCS Programme Officer providing guidance to GBV thematic partners on their proposed implementation activities, work plan & results frame matrix.
📸Standing : Brian Mosala & Irene Makoko -@FCSTZ Programme Team
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku
Happy to launch #UraiaWetu project. FCS will work with grassroot CSOs to promote civil society and citizens partipation in the constitution review process. Appreciations to @EUinTZ for supporting this project #Tanzania @FCSTZ @EUinTZ
Today we launched our #UraiaWetu Project funded by @EUinTZ. FCS will issue over 4 billion in sub-grants to 12 CSOs in 🇹🇿& Zanzibar to project to promote civil society participation in democratic governance in Tanzania. Among the CSOs are @TanganyikaLaw@JUKATA_Tz & TANGO
#UraiaWetu project will contribute to an improved & enabling policy framework & environment for effective civic engagement to promote democratic governance in Tanzania.
Kazi yetu kubwa ni kuwezesha na kufanya kazi na AZAKI 🇹🇿. Uwezeshaji wetu ni ktk maeneo makubwa mawili, ambayo ni kuimarisha utawala bora nchini na kuongeza uwezo wa wananchi wetu kujikimu ( Livelihood Programs) ~@KiwangaFrancis, Mkurugenzi Mtendaji @FCSTZ#UraiaWetu
Katiba yetu ibara ya 8 imeweka mamlaka kwa wananchi. Hivyo basi katika zoezi hili tunalofanya la utengenezaji wa katiba ni lazima tuweke wananchi katikati ya mchakato wote wa kupata katiba mpya ~
@KiwangaFrancis#UraiaWetu#AzakiTanzania
#UraiaWetu ni mradi wa miaka 3 unaolenga kuongeza hamasa,ushiriki, wigo wa ushiriki wa wananchi ktk utawala bora.@FCSTZ tunashirikiana na wadau wa maendeleo kufanya kila mwananchi kwa kadri tunavyoweza aweze kushiriki moja kwa moja katika mchakato wa katiba mpya
@KiwangaFrancis