Electrical engineering professional* SSC fans & Arsenal* Father of 2 children's & husband of 1 wife* Member of jogging and fitness club* I like ๐น๐ฟ
Jitahidi kumpenda Mke wako kwa Dhati maana ameweka Moyo wake, Maisha yake na Amani yake mikononi mwako, usitafute visingizio vya kumbadilisha au kumuumiza huku ukijua bado anakupenda kwa Moyo wa kweli.
Laylatul-Qadr haijulikani lakini Siku ya Arafah inajulikana.
Kama kuna siku ambayo inaweza kubadilisha maisha yako, ni Arafah.
Siku ambayo rehema ya Mwenyezi Mungu itashuka, dua zako zitakubaliwa na dhambi zako zilizopita na zijazo zitasamehewa.๐คโจ๏ธ