@ReganTesha_ Wanawatesa watoto kwa chuki za mapenzi yaoh na roho mbaya yuko radhi mtoto ateseke kwa kukosa mahitaji muhim ukimwambia nipe mtoto ni mtunze mwenyewe hawataki wanasema siwezi kukupa mtoto angu kama unataka kumtunza uwe unatuma matumizi
Hiv kuzaa na wewe ndio unifanye cash flow
@mdudechadematz @godbless_lema@TunduALissu Wananchi tunataka mikakati ni nini kifanyike ili kumtoa huyo mnyonyaji
Sioh hizo sera zenyu sijui mjitoe kwenye maridhiano so mkisha jitoa so what next
Mkija na mikakati thabiti nini kifanyike
Sioh kupinga tu kila kitu
Yaan bado hatujapata watu wa kutuvusha
Mahala