Unapiga Kazi masaa 12 kwa week, Then unalipwa 300k per month ๐ฎโ๐จ
Nabado kijana unategemewa nyumbani,kihisia kipato na kinguvu Kazi.
Kijana akikufwata na akulilie shida,Hata kama huko vibaya Mpe hata neno la kumtia moyo.
Hustle za kitaa zinatisha Mno.
Wanyama/Magari/Watu Kwa Whatssap Hutembea Kuelekea Upande Mmoja Wa Kushoto
๐๐ฆ๐ฆ๐๐ข๐ฆ๐ก๐๐ ๐๐ฆ๐ฆ๐ช๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐๐๐๐๐ฆ๐๐ฆ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ถโโ๏ธ๐ง๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ด๐ผโโ๏ธโน๐ปโโ๏ธ
Kasoro Mwanamke Tu Ndio Anaenda Upande Wa Kulia!
๐๐๐๐๐
Hadi Whatssap Wameshindwa KumControl Demu
WE NANI HADI UWEZE?