@ZamaMpya_ Huyu baba mbona muongo hivyo hata ndoa yake inaendeshwa kwa magumashi Twende na Bei
🖕 Bei ya mchele kwa
1kg Ni 2400_3000
🖕Unga 1kg Ni 1600-2000
🖕Guni la mahindi ni kutoka 60000 mpaka 18000 b yani tunaishi ktk kpindi kigumu hemu kuweni na haya watoto wenu wanakula vzr
@ikulumawasliano@venusnyota Hemu leteni hoja zenye uzito kuanzia ngazi ya uwenyekiti mpaka makatibu wote waislamu mnataka kuniambia nini nyinyi lejea ngazi za juu mkristo n mpango tena gelesha tu