@AbroadTanzania Mtazamo wako na hauna maono wala ushawishi,ni chuki za jumla ambazo mtu mwenye akili penyezi na pembuzi hawezi kushawishika na hoja yenye propaganda ndani yake.
@TanzaniaLeaks Hao ni watiifu kwa Amiri jeshi mkuu,Hawawezi kuwa na kauli ya wazi,kwa kifupi wanajitambua,Acha uzushi kuna siku utaingia kwenye anga zao maji utaita mmaa