BREAKING NEWS : Kumbe Wabunge wote ambao walienda Moroco kuipa Gundu Serengeti Boys mpaka ikafungwa, kumbe hawakuwa na kibali inshort walijiamulia Mambo, na wakamruka BWANA MSELA na kaagiza wachukuliwe hatua kali
Je nani alijipa mamlaka ya BWANA MSELA akaruhusu wabunge kusafiri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), tarehe 29 Mei, 2026 Ikulu Dar es Salaam.
Tume ilipata ushahidi wa kuthibitisha kwamba wanaharakati walifanya kazi kama mawakala wa wafadhili waliokuwa wakitafuta faida za kisiasa na kiuchumi kutoka kwenye msongo wa Tanzania. Maneno yao ya kupigana kwa haki ya wananchi yalikuwa ni ngao ya kujificha tu. #HarakatiZaUongo
#TumeYaUchunguziReport
Ukweli Umefichuliwa
Madeleka anaamia Chadema, anasubiri mikutano ya Dar ya Chadema.
Anataka kugombea jimbo la Tabora mjini 2030 hivyo anaamini karata yake iko Chadema.
Na ndio maana mnamuona anajifanya yuko deep na 29 October kwasababu anataka mumuone anauchungu kumbe anatumia hiyo iwe karata yake! Shida hawa wanasiasa kwasasa wanaitumia situation ya 29 October ili kupata approval ya wananchi.
Tuko hapa tunasubiri,!
Ila Tanzania Uhuru ulizidi jamani, imagine Tesha alijitokeza hadharani akawaaminisha watu kuwa Jeshi linataka kufanya Mapinduzi, sasa kabaki peke yake huko Moshi anakula vumbi tu, ndugu zangu ajira ni mbaya ukiwa nayo ila ukiiacha unalia na familia yako.
POLISI walikabiliana na CRIMINALS na itabaki kuwa hivyo!..
Wazazi kama mmeshindwa kulea watoto wenu na wakaangukia kwenye mikono ya perpetrators kama Maria na wenzake matokeo yake mnayajua na mtayapata vizuri sana...
HATUTAKI UPUMBAVU HAPA 📌
Utoaji wa mafunzo kwa Jeshi la Polisi ni moja ya nyenzo zinazoliwezesha kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi na kisiasa duniani katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Ni kwa muktadha huo leo nimefarijika kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi ya Kozi Namba Moja ya Mwaka 2025/26 jijini Dar es Salaam, ambapo wanafunzi 719 wamehitimu.
Ulinzi na usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila mwananchi. Hivyo, nimesisitiza umuhimu wa wananchi kupewa elimu ili washiriki kikamilifu katika kubaini na kutoa taarifa za viashiria vya uvunjifu wa amani kupitia Polisi Jamii.
Mbali na kuwapongeza wahitimu, nimeeleza kuwa tija ya hatua zinazochukuliwa kuboresha Jeshi la Polisi itapimwa kwa kuangalia matokeo katika maeneo manne:
1. Matumizi ya rasilimali za Jeshi la Polisi katika kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
2. Uzingatiaji miiko ya Jeshi la Polisi katika utendaji kazi.
3. Imani ya wananchi, sekta binafsi na jumuiya ya kimataifa kwa Jeshi la Polisi.
4. Uwezo wa kutambua viashiria vya uhalifu mapema iwezekanavyo.
Mwaka 2022 Haji Manara akiwa na ajira ya GSM alimshambulia BWANA CHUGA kisa ugomvi wake na GSM, 2026 Manara akiwa katimuliwa GSM Bwana Chuga kamtoa mavumbini kampa kazi ya Usemaji wa timu za Taifa.
Kuwa Bwana Chuga kazi sana, mtu alikushambulia na bado unampa ajira.
Ukiambiwa serikali ni LIDUDE LIKUUUBWA hivi inabidi mtu awe anaelewa.
Sasa jamaa alijiona ni mtemi kuliko mamlaka kiko wapi sasa?
Huenda funza walishalitimiza jukumu lao kitambo mno.🤣😂🤣
Ila kuna watu wanabahati sana aisee imagine leo hii Haji Manara anakazi kama sita hivi na zote zinamuingizia Kibunda.
》Diwani Kariakoo
》Mtangazaji Wasafi
》CEO Manara TV
》Muigizaji Kombolela
》Msemaji timu za Taifa
》Balozi wa Silent Ocean
𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐔𝐙𝐀 : Katika historia ya Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye ameweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu pekee aliyehudumu kwa miaka 10 na Marais 2 Hayati na Mama Samia, rekodi ya kukaa miaka 10 ilikua inashikiliwa na Mzee Sumaye ila kwa Rais mmoja.
BREAKING NEWS : Chini ya Rais SAMIA mahakama zimezidi kuwa huru baada ya leo 28/05/2026, kuifuta kesi iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed dhidi ya CHADEMA ya mgawanyo wa mali
Ndani ya miezi 2 CHADEMA wameshinda kesi 2 ya kuruhusiwa kufanya mikutano na kesi ya mgawanyo wa mali
"Lazima Watanzania wafahamu kuwa sisi CHADEMA hatujakataa maridhiano kama wengine wanavyosema na ushahidi ni huu hapa tunafanya mkutano yetu kwa amani bila tatizo lolote, wapuuzeni hao kuwa CHADEMA wamekataa hapana ila sisi ndo tume taka Maridhiano" JOHN HECHE - NYANKUMBU, GEITA
"Pesa za tonetone mnazochanga tutatumia kununua magari na kumjengea nyumba TUNDU LISSU (Mwenyekiti wa CHADEMA) na zinazobaki tutagawana sisi viongozi wengine maana hatuwezi kufanya kazi bure" JOHN HECHE - NYANKUMBU, GEITA
Kenya ndo nchi Pekee Afrika Mashariki ambayo usalama wake ki nchi haujitoshelezi, Siasa zao ni mbovu ndo maana Magaidi wanaionea sana Kenya kutokana na mifumo yao ya kiulinzi na kiusalama ni hafifu sana.. je unafikiliaje kuwekeza Kenya nchi ambayo Rais wao ni mgonjwa wa HVI?
𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐔𝐙𝐀 : Uchaguzi Mkuu wa 1995 Mwalimu Nyerere alimpigia Simu Mkapa na kumuonya asitumie Chopa kwa sababu wapiga kura walitaka kumuona ili wampigie kura nyingi alikubali
Hata Rais SAMIA kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 hakutumia Helikopta ndiyo maana alishinda kwa 97%.