@edwinsifuna Omwami, I wish siku ya ku launch Party ungefanya kwenye University Hall au uka invite University students as main guest wa hiyo event uka change nao ideas kuhusu future ya nchi yao.
@edwinsifuna@LindaMwananchi_ Omwami kuna call ya Sufunians kwamba baada ya Church Service kwenda direct Jacaranda instead ya ku have many stops to give Police opportunity ya ku delay na teargas etc.