@HildaNewton21 Kwahiyo baada ya mauaji ya watanzania zaidi ya alfu 10 JWTZ kazi yao ikawa kukusanya maiti na kwenda kuzika !?
Kwahiyo JWTZ waligoma kuua ila wakatumika kukusanya na kuzika ushahidi !?
Ebu wekeni sawa hizi propaganda basi,,,,!!!
@fintanjr_ 1-kukaa chini
2-kutumia bakuli
3-kutumia plastiki
4-kuwa na mboga moja
5-kutoshiriki tabasamu la familia
Hayo ndiyo yanayo hitaji majibu ili kupima hali yake hapo ndani
@eastafricatv Marekani arudi tu nyumbani, ameshakwaa kisiki na jamii yake na ya kimataifa sote tunajua kuwa ameshindwa vita,
Hana sababu wala uwezo wa kutufumba macho na kutudanganya.
@TriciaAbou Ni zaidi ya sahihi,
Labda kama alipuuza kuhudumia watoto,
Lkn kama alizuiwa au aliwahitaji alee mama na wakwe wakagoma kwa kisingizio chochote,
Kama walimnyima haki ya kulea kizazi chake atakavyo si wamalize na hilo dogo la kuozesha,,,,!!?
@comanchechiefIV@lwaitama1 Hilo linatokana na moja ya 2;
1-uelewa wa mwanafunzi/mzazi kuhusu imani ni mdogo,
2-shule kusajiliwa kawaida si (seminari)
Seminari ni lazima kusoma dini,
Zingine ni hiyari,
Shule nyingi zimesajili kawaida, lkn wamiliki wanaingiza imani zao kihila,
Migogoro huanzia hapo
@lwaitama1 Banki ya maendeleo na mkombozi zote zinaendeshwa kibiashara moja kwa moja, riba (interest) ni lazima.
Amana bank inaendeshwa kihuduma na ibada ktk mingi ya mikopo yake, kipaumbele ni imani,
Si kwamba wengine hawakopeshwi bali wanaokidhi vigezo ni wachache.
@VungaEl74 Waongee au waachie mafuta, waachie hormoz, waachie uranium, waache kuunda makombora na yaliyopo yapunguzwe uwezo
Ungese huo we utakubali,,,!?
Tukutane uwanjani
@SuphianJuma Mhe Rais alikosea,
Wasaidizi wakampenyezea taarifa ya masahihisho,
Mhe Rais akasahihisha vizuri tu,
Wewe tukuweke nafasi gani kwa "mpenyezo" wako huu,,,!?
(a) unampenyezea Mhe Rais kwa njia hii ?
(b) unamsahihisha alipokosea !?
Unaikosea adabu taasisi ya urais,
Ilifaa ukimye.
@VungaEl74 Vipi "Rais" shah aliyeteuliwa washington na trampo kwenda kutawala iran amesha wasili jiji la tehran kutekeleza majukumu yake,,,,!?
Tulishakubaliana kuwa viongozi wote "wakorofi" wa kiraia na kijeshi tumewamaliza pamoja na jeshi lote.
Wairan wa mbagala tushaandaa "pambio" kabsa
@VungaEl74 Iran wanaachia video za kilichotokea usiku,
Wanaomba na nyinyi wamarekani, wayahudi wekeni video tuone,
Musituletee hadisi za nasa na mwezini hapa
@lwaitama1@HildaNewton21 Tatizo ni pale tunapowaona nyinyi akina nyerere wetu munawaunga mkono maadui wake (israel),,,,!!!
Wanaotoka kwao (marekani,israel) na kwenda kwa watu (venezuela, irani) kuwashambulia viongozi na nchi zao ndio wana demokrasia munaowaiga,,,!!?
MUMETUAMSHA SI KIDOGO.
@MwanzoTvPlus Kwani hilo jeshi si tumeambiwa limeshamalizwa lote,,,!?
Au ndo alibaki huyu tu !?
Acheni kutapatapa na propaganda za kipumbavu,
Ikatikieni ikiuma chomoeni,
Kitu imetaiti hiyo yan ukijamba umejitonesha
@lwaitama1 Kwahiyo irani inaongozwa na madiktetor, na marekani na israel ndo wana demokrasia wanaopambania uhuru wa raia na haki za binadamu,,,,!?
Na kwa maana hiyo munataka nyinyi tuwape nchi ili mutuletee "demokrasia" hii ya marekani na israel,,,!?
@Jambotv_ Kwani vita inaendelea,,,!?
Tuna taarifa kongwe kwamba jeshi la irani la majini anga yameteketezwa na anga na mipaka ya nchi hiyo inaingilika kama choo cha stendi, sasa wanaositisha ni kina nani,,,,,!?
@AbroadTanzania Sawa mwanaharakati wa haki za binadamu na demokrasia chini ya bendera ya chadema,,,,,!
By the way,
Mapambano ya kuwang'oa maccm na kuweka viongozi wa wananchi chini ya katiba mpya inayotambua na kuheshimu uhuru wetu yanaendeleaje ?