@paulinenjoroge Truth be told, there is no any person among those you mentioned who is more qualified to lead Kenya than Ruto. Sifuna has never been tested and is all talks, Matiangi is a bureaucratic dictator. Kalonzo is lazy and fragile, Ghagua is a tribal, thief, and bitter dictator
@BrendaRupia@HildaNewton21 Kwa hiyo wamefungua tena. Huko ni kuchezea mahakama. Na watakuwa wanatumwa. Maana sioni hapo kama kuna mtu anayeweza kulipa mawakili
@Thommunkondya Kwani wanaofanya kazi Ikulu ni malaika hawakosei! Kama ingekuwa hivyo wangeelewa kwamba kwenda Russia kwa sasa si wakati muafaka. Tuko kwenye misukosuko ya Oct 29 na magharibi. Urusi iko katika mzozo mkubwa na magharibi kuhusu Ukraine. Huoni tatizo?
@Thommunkondya Russia wana uwezo gani wa uchumi. Huo uchumi walionao ni wa kujisaidia wenyewe tu. Walishasaidia nini unachokijua katika nchi yeyote. Nchi hii inategemea misaada kwa 42% ya bajeti. Wataweza kuziba hilo pengo. Au unafikiri watawapiga tunaoshindana nao kwa nyuklia!
@NjiruAdv Let the man finish his two terms and go. Ruto is a hard-working president. What he has so far done is much more than what other presidents did in their 10 years at power
@TanzaniaAnalyst Hapo eti na wewe unajifanya umezungumza. Kazi ya mtoto wa Lissu inafahamika. Anamsaidia baba yake aliyeko ndani. Uliwahi kumsikia kabla ya baba yake kufungwa. Sasa tueleze Abdul anamfanyia kazi gani mama yake? Urais?
@AbroadTanzania 'Power is never given you grab it'. Sioni kama kwenye kindi la kwanza na la piling kuna watu wenye guts za kupata madaraka kwenye nyakati hizi tulizonazo hata wangekuwa wanapendeka vipi