@Eliaskaneke Degree sio kitu kama hutaweza kuibadilisha karatasi yako ya Chuo Kikuu kuwa pesa, mimi nina muappreciate mtu aliyesoma na akawa community problem solver
@WideEdson Mkuu hapo mbn hakuna ulichokificha sasa, account number yako ipo wazi ni rahisi kufanyiwa cyber bullying na mtu akakupiga kiutamu tu. Acc yako ipo uchi
@ayubu_madenge Mkuu salama!, usidanganyike NASA ni waongo hkuna mtu anaweza kwnd mwezini, fikiria kuhusu zero gravity, kuhusu rocket ignition and its speed, fikiria mechanics ya chombo kurudi kwene normal orbit, then fikiria kuhusu maparachuchi wanayotumia compared na third law of Newton.