Unapata bois anajituma site kidogo simiti na koroga inamuua anarudi jioni akiwa na ka shopping apelekee jezebel anapata habari amekuliwa na nyambane mwenye hushinda pes, anaku easy walai!
Hii watu wa kanisa wakiimba asubuhi 4am hio si noise pollution lakini tukiwa locals jioni mnaita mosiria aseme tupunguze kelele sijawahi elewa hio concept kabisaa!!
All my high school classmates were mad. There was this guy called ciira who was extremely mad. He used to sneak lollipop & mandazi (ya dundori) at 5am only to do business with borders. In the evening he could steal metals from broken lockers and seats and sell as scrap metals