@ChugiSuleiman@anuskills3 Unataka matokeo yangu chanya kwani me nafanya kwa ajili ya taifa? Ndio maana niko busy na mambo yangu,wewe endelea kuwa busy na niffer
@MswatiKing_01 Kile kiganja mlipigwa nini? Mnajisahau sana wapuuzi nyie sasa na huyu stivu bakari round ya pili tutamfanya tulichomfanya robatinho nadhani adabu imekua ndogo sana this time around