Tumezaliwa ktk maisha haya na kuaminishwa ya Kuwa,
-Nguvu za asili sio kitu kwetu bali ni ushirikina
na ndio maana tunashindwa kutumia Nguvu za asili ktk
-Biashara zetu kama wewe unafanya biashara
-Ujasiliamali wetu kama wewe ni mjasiliamali
@choggo82@makumbawaleo_5n Kwa sababu waliozaliwa gen Z wamezaliwa ktk kipindi chenye nishati ya kiumbe as elfu moja na miatisa na Ile 1 ya mwanzo ktk miaka Yao inawakilisha nishati "dume"
Tatizo linakuwa tunatongoza mademu ambao hatuendani nao Sisi kiherufi hasa herufi za mwanzoni
Mfano demu ww herufi yake Ni E anaitwa "esta" ww "Zuyumi" Sasa hapo bond kujenga utachukua muda kaka ama?
Sema mimi huwa nakosa interest na mwanamke ambaye hatujamake bond yoyote aanze kuniomba hela baada tu ya kumtongoza.
Yani huwa namnyima hata kama ninayo automatic namuona anapenda hela kuliko utu.
Dada zetu jifunzeni kuwa wavumlivu fanya mambo mema tujenge bond.
Hela ntakupa tu
@HzMnkai@faraja_zungu Sisi "Mangimaziwa" tutaunga na Mangichai kuwaleta hii suluhisho kwenu
Bali Kwa Sasa kama "Mangichai" tuna mdalasini na majani ya mdalasini Kwa Ajili ya kuwasaidia wajasiliamali, Wafanyabiashara Wa nyumbani kupiga na kusikia raha watumiapo wanapopikia wali na pilau.
@HzMnkai@faraja_zungu Kwa mtazamo wangu as Spiritual Alchemist(tutumie chumvi ya mezani kupigia mswaki na majani ya mpera na kuna aina ya miti sifahamu Kwa majina
Ps.Chumvi natumia kila siku