Kila mmoja wetu lazma atapitia ile siku atayoshindwa kuamka tena,siku moja baada ya hapo ndugu wanaokupenda nakulia watasema jamani kashaanza kutoa harufu tumuwaishe,upo wap uzuri wako,zipo wapi pesa,upo wapi urembo wako,chini ya udongo ndo mwisho wakila kitu.tuishi kwa nidhamu.
Ukifa watu hulia nakutamani ungeweza rudi๐ข..lakini ukiwa upo hawakuoneshi thamani na upendo unaostahili..kwenye dunia yasasa ukitaka kupokea upendo na thamani yako subiri siku utakayo toweka duniani๐๐๐
Nyok wabay tunao majuban.tunaishi nao mitaan nakuwapenda..tumekua tukiwaweka karibu pengine nakuwafurahia lkn badae wanatudhuru.nyok haw wamekua namadhar makubw san kuliko hata waporin.sif yao kubw nikuum nakupuliz..sis tunawachukia nyok waporin lakin nyoka wabay zaid n binadamu.
Nyoka waporini sasa wamekua hawana madhara.hawana shida nawatu hata kidogo.hata nyoka mwenye sumu kali amuonapo binadamu hupita zake na kwenda.binadamu ndo wamejiweka uadui na nyoka ila nyoka hana shida yoyote nasisi.
Sisi ni waja wa Allah tuombeane memah Wala tusihukumiane Alie Baki wa kuhukumu ni Allah kwani hakuna ajuae mwisho wake wangapi walianza vizuri lakin wakamaliza vibaya na wangapi walianza vibaya wakamaliza vizur mungu tujaaaliye mwisho ulo mwema๐๐