@MtaaTall12813@MkulimaKante Na hata akiwa na termination letter + certificate of service atapewa 33.33 % tu ya hiyo hela Kwa miezi 6 mfululizo.
Inayobaki mpaka ipite miezi 18 ndio ataomba kupewa kwa mkupuo maalumu ndio atapewa zote zilizobaki.
@SportsarenatzTz Mpira haujashuka ila sisi tumesogea juu now tunaona kawaida tu kucheza na Al Alhy,Mamelod,Es Tunis lkn kipindi cha nyuma tulikuwa tunaogopa kukutana nao esp Arab clubs saizi tunambiana nao vizuri tu.
@SincerelyRahma_ Mwanamke ukishakuwa na watoto wakafikisha umri ambao na wao mda wowote wanaweza kuwa wazazi,usipange kuzaa tena. Bora hata baba yao angekuwepo kidogo ingesound,kupata mtoto wa baba mwingine at 45 ni aibu kubwa kwa familia zetu.