Mwanangu kapiga simu usiku kama ngoma 9, nashida na 35k
Sikua na ela ila nilituma chap, sinaga utaratibu wa kutuma ela kutoka bank kwenda mobile network, ila nikatuma
Imefika tu ananambia nipo hospital dogo anaumwa
Kuuguza sio poa, naogopa sana yani
Mwanamke asie na bikira ndio mwanamke pekee ambae.
Hatoona kazi kuvua chupi in return kwa kitu anachohitaji kama pesa na mengineyo.
Mwanamke bikira ni tunu leo na kesho maana alichagua kuheshimu utu wake kwanza kabla ya tamaa za maisha na mwili.
Heshima ya binti ni bikira,
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽.
Urban Chill Music T8 2nd GENERATION
TZS 220,000/=
Call/Whatsapp 0716006808
Wanaume
Watoto wako wanastahili MAMA.
Asie mjinga.
Sio mlevi.
Sio mwanamke mchafu.
Sio mwanamke wa club na bar.
Sio mwanamke anaetaka usawa.
Tafta mama bora sana kwa sababu watoto wako wanastahili mama bora.
8 Kabla hujasaini cheti cha ndoa pima;
1. Ukimwi
2. Hepatitis B
3. Hepatitis C
4. Magonjwa ya zinaa
5. Genotype
6. Rhesus
7. Uwezo wa kupata mtoto
8. Magonjwa sugu
Repost hii kabla mtu hajafanya makosa.
Ndugu yangu muislamu, una madhambi mengi mno. Ni lazima ufanye makosa kumkosea Allah you're human and that's fine.
Lakini ikifika kipindi cha mwezi jilazimishe kufunga, swali swala zote na taraweeh, soma sana Quran. Kwa wale matajiri futurisha watu wafurahi kupitia mfuko wako. Utalipwa vizuri kesho.
Kuwa makini usije kosa cha kujitetea siku ya qiyama
Najivunia Sana Kuwa Muislam Dini Ya Kweli Na Yenye Haki, Inakupa Uhuru Wa Kuabudu Mda Wote (SWALA 5)!
Nakushukuru Sana Mama Angu Kwa Kunihimiza Kuswali Toka Nipo Mdogo🙏🏿
Umri wa kustaafu serikalini uwe miaka 50 kwa hiari na miaka 55 kwa ulazima ili kupisha vijana waajiriwe. Hii itapunguza changamoto ya soko la ajira; pia, kiinua mgongo kitamsaidia mstaafu akiwa bado ana nguvu ya kujiajiri.