@cleansheet_1 Ukilinganisha kikosi cha Al Nasr vs Portugal unaona kabisa Portugal ana kikosi kizuri kuzidi Al Nasr, lakini huwezi amini wachezaji wa Al Nasr wanamchezesha Ronaldo vizuri kuzidi hao wa Portugal. Tatizo wanajiona ni kama wapo juu kumzidi ila cha ajabu hatuoni lolote wanalofanya
Kabla hujawakataa Brazil jaribu kuchungulia na ubora wa Morocco, Morocco kwa sasa ipo bora sana na inaweza kushindana na timu yoyote duniani. Hata 2022 hawakufika Semi final kwa kubahatisha bali walikuwa vizuri na hata sasa wamerudi na ubora wao ule ule๐๐
Nishasema hii Brazil hamnamo timu, na haina kocha, Eti huyu Janja anavuruga kiungo ya Brazil.
Hivi mnaijua Brazil nyie๐, ukisikia unakutana na Brazil ilikua hulali siku tatu unawaza itakuaje eti saizi mtu kama Paqueta sijui Akina Thiago eti wanaanza tena kwenye world cup
๐ถ๐พโโ๏ธniacheni kidogo
@baraka_asege Ilishawahi kukwama katikati ya mikumi na ilikuwa usiku kama saa mbili ivo halafu wakawa wanatuambia tushuke ili warekebishe, tukawaambia wasicheze na maisha yetu๐๐
@Sativa255 Hapo Waafrica wenzangu mtanisamehe, nipo bega kwa bega na Waarabu mana ndo timu yangu pekee kutoka Africa hao wengine lolote liwakute. Kila la kheri Morocco
Bien alikalisha Mondi,Marioo na Harmonize mbaya kwenye featuring finale kaja kujichanganya kwa King Kiba.๐
King alimpa melody kwa ile bridge na baadae Kiba akatumia hiyo hiyo bridge kwa kubadili lyrics with the same melody kumuua Bien.
Kiba ni Extraordinary .๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐
"Kingereza wanachoongea kwenye vituo vya polisi huwa tunanyamaza tu kwasababu wana bunduki mfano I'M NOT YOUR FRIEND MY FRIEND ndo nini ichi"
_OFFICIALTOMMPANTHER