Mimi sina malengo yoyote Duniani hela zangu zote huwa natumia kuhonga wanawake.
Mimi nipo tayari kumuhonga mwanamke hela yoyote anayotaka kikubwa afurahi tu.
Sahivi wanawake wameanza kuona kama kuumwa vidonda vya Tumbo ni Fashion…. akiumwa tumbo kidogo anakwambia “naumwaga vidonda vya Tumbo”… Wakati wengine mmekula makande mmevimbiwa.😂😂😂😂😂😂💔🚮